Recent content by Aaron

  1. Aaron

    JamiiForums Tanzania Geofrey Mwambe, Phil Mpango, Faustine Ndugulile na Ndalichako - fanyeni Mkutano upesi

    Umemsahau Kitilla uwekezaji
  2. Aaron

    JamiiForums Tanzania Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Kweli dada..shule zetu hizi za mfagio na vidumu sawa kabisa
  3. Aaron

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

    Si mmetekeleza kwa kishindo au vipi?
  4. Aaron

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

    Tutafukuza woote na upinzani utaisha siku matatizo ya watz yakiisha.
  5. Aaron

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

    Ruhusa ya viti maalumu inatolewa na mbowe.
  6. Aaron

    JamiiForums Tanzania Nayaona maisha mapya bila ruzuku wala kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

    Uzuri ni kwamba Mbowe anaweza kulisha kijiji chenu kwa maisha yote mtakayokuwa nayo hapa duniani na chenji irudi bila kutegemea ruzuku ya chama.
  7. Aaron

    JamiiForums Tanzania Bila woga Askofu aivaa Serikali kuacha kuonea Wapinzani, kisa wabunge kupigwa hadi kulazwa

    natamani corona ikiwa inaingia tz ianzie pale kivukoni kuja huku. Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Aaron

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo NIDA inavyoshughulikia Watanzania Wazawa?

    kule. vijijini kwetu wazazi wetu hata hizo namba hawana. na kila siku wanatishiwa kufungiwa laini. wanaishi hawajui kesho yao. tukiwasajilia huku wa namba zetu tunafungwa miaka mitano. asante awamu ya tano. tumenyooka kweli Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Aaron

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

    Ana pesa zaidi ya hizo mara mia Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Aaron

    JamiiForums Tanzania Jeshi Hili la Wanawake Chadema Laweza Kufanya Mabadiliko Makubwa 2020

    wakati nakatiza mitaa ya mlimani jana saa 2 usiku. nilikutana na mmama mmoja akiwa na mtoto umri wake kama miaka 9 hivi wa kike wakiwa wamevalia sare za bawacha wote. wakaniuliza watapata wapi dalala za kwenda kibamba nikawaambia kwa sasa daladala za mbezi zimejaa na ni chache labda mchukue...
  11. Aaron

    JamiiForums Tanzania Tanroad mnafeli wapi? Daraja siku 3 bado halipitiki?

    ka daraja tu siku tatu. corona ikija si itatumaliza siku mbili. Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Aaron

    JamiiForums Tanzania Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

    nawazidi wote Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Aaron

    JamiiForums Tanzania Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

    tukimkataa then what next. !?? ule mkopo wa WB mnaoulilia mtaupata wapi!?? Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. Aaron

    JamiiForums Tanzania Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

    nadhani hii comment inatosha kufunga mjadala huu Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom