Jeshi Hili la Wanawake Chadema Laweza Kufanya Mabadiliko Makubwa 2020

Haya ndio mambo yanayokifanya chama dola hadi leo wasiwe na amani,kwa wana ccm wote viacheni vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi zake kikatiba,weka tume huru(sio hii ya watendaji kuteuliwa na mkaazi mkuu wa pale magogoni),level playing field then uchaguzi ufanyike ,atakayeshinda awe ameshinda kihalali na atakayeshindwa awe wa kwanza kumpongeza aliyeshinda,sio sasa eti ccm wapo Ilula wanashuka Kitonga Pass na wengineo wapo comfort Hotel halafu ccm wanadai tuone nani atawahi kufika !!
Ha ha ha ! Hao nisawa na wakina mama wa dar es salaam tu! Ulioona simiyu ni wahapo hapo bariadi mjini! Harafu wanyantunzu wengi ni wasabato sasa wasabato na hyo sherehe ni mafuta na maji hayachanganyikani.
 
sio kawaida yangu kujibia hoja kama hizi,ila hii inanibidi maana naona haya ndio matokeo ya UPE,umetuletea watu wasiojua kusoma kwa kuelewa,ebu isome tena hayo uliyoandika uone kama yanaleta maana .
 
March 7, 2020

Katibu Mkuu Chadema awataka kina mama kupiga kelele kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Katibu Mkuu CHADEMA ashiriki kutoa mada BAWACHA ili kujenga ufahamu zaidi kushiriki ktk siasa pamoja ya kuwa hali ya kisiasa nchini toka Oktoba 2015 demokrasia imebinywa sana na serikali ya CCM Mpya iliyopo madarakani

March 8, 2020

Mkutano wa Baraza la Wanawake CHADEMA - BAWACHA

Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA linajivunia kuwa wa Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye ni mwanamke, wabunge wengi ngazi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, Bunge la Afrika Mashariki pia lina Meya wa Halmashauri ya wilaya bila kusahau madiwani na wajumbe wengi wa mkutano toka kila kona ya Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana katika mkutano huu wa Baraza la Wanawake. Mkutano huo ulihudhuriwa na wageni mbalimbali waalikwa wa vyama vingine kama UDP, CHAUMA , SAU, NRA ambao walikaribishwa kutoa salamu za mshikamano.

Wageni waalikwa Washiriki walionesha kutiwa moyo jinsi ukumbi ulivyofurika wajumbe wa BAWACHA na kuelezea furaha yao ya hamasa ya kisiasa iliyomo ndani ya BAWACHA.

Hakika BAWACHA inajivunia kwa kubeba wajibu wa kuwa ni baraza la watetezi wa wanawake wote Tanzania, bara na visiwani. Pia baraza limejiandaa kuweka wagombea kote Tanzania ili kugombea na kupata wabunge wawakilishi, udiwani na hata uRais wa Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Zanzibar ili kutatua kero na matatizo ya waTanzania.

Sources: Chadema Media TV
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
 
Kongamano lililofanywa na BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Leo hii katika ukumbi wa Mlimani City halijapata kuonekana nchini sio kwa wingi wake bali VIBE na msisimko wake wa kweli toka kwa wahudhuriaji.

Wamekuja kwa hiari, kwa gharama zao, mioyo yenye furaha na heshima pamoja na kutikuwa na woga wowote na tabia ya watawala kuonea yeyote asiye CCM akiwa na furaha.

Jee Wanawake hawa wakirudi watokako na kueneza ujumbe wa Chadema wa #NohateNofear kwa Wanawake wote nchini na kuwafahamisha kiini cha matatizo yao ni CCM na huku uongozi ukipambana kuleta Tumehuru ya uchaguzi hadi iwepo CCM itapona?

Kumbe kifo cha CCM kimeshikiliwa na Wanawake?
View attachment 1380918

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii bila hata kualikwa unajisikia kujialika ili uingie.
 
Ccm chama dola boss kwenye mkutano wa ccm Kuna Rais Kuna mawazir Sasa nyie mnataka mrushwe live awaone Nan porojo zenu nyie wenyewe mmeshindwa hata kua live insta yani bado pia mlikua hamna bado hampojawa tayar

Sent using Jamii Forums mobile app

..KATIBA na SHERIA inaelekeza uwepo wa vyama vya siasa.

..suala la CCM kuwa chama dola na kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kutetea nafasi yake ni kinyume na sheria.

..nakushangaa sana kuwa hufahamu jambo jepesi kama hilo.
 
Kongamano la wanawake wa wachapa Tanzania?

Yaani mbowe anatapatapa sana kila anapofikiria UKONGA

Kila anachofikiria sasa hivi ni kukusanya wanawake,kuomba watu wavae vitambaa vyeupe kuelekea majakamani

Yaani gereza ni shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kongamano lililofanywa na BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Leo hii katika ukumbi wa Mlimani City halijapata kuonekana nchini sio kwa wingi wake bali VIBE na msisimko wake wa kweli toka kwa wahudhuriaji.

Wamekuja kwa hiari, kwa gharama zao, mioyo yenye furaha na heshima pamoja na kutikuwa na woga wowote na tabia ya watawala kuonea yeyote asiye CCM akiwa na furaha.

Jee Wanawake hawa wakirudi watokako na kueneza ujumbe wa Chadema wa #NohateNofear kwa Wanawake wote nchini na kuwafahamisha kiini cha matatizo yao ni CCM na huku uongozi ukipambana kuleta Tumehuru ya uchaguzi hadi iwepo CCM itapona?

Kumbe kifo cha CCM kimeshikiliwa na Wanawake?
View attachment 1380918

Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA si walisema wanakatazwa mikutano!
 
Watanzania wanataka wanataka Demokrasia wasipoiona wasipoipata ndani ya Chadema wataipata nje ya Chadema.

Watanzania wanaangushwa na viongozi wa vyama vya upinzani hasa Mbowe.

Wapo tayari lakini Mbowe hana jipya zaidi ya kulalamika kuwa hapewe nafasi ya kuandamana lakini anashindwa kuoanisha maendeleo na maendeleo vinaendaje sambamba ?
Kwa nini watu waandamane na kufanya mikutano kila siku badala ya kufanya kazi?
Kwa nini kuna umuhimu wa Tume huru kwa CCM na Dola yake?
Nini madhara ya kukosa tume huru?
Nani ataipenda Chadema chama kinachoongozwa na Mbowe asiye na maono? Hivi ni chama gani kinachokataa watu toka vyama vingine na kuwafanyia figisu waliopo ili wakimbie wabaki wachache wasioijua dola wala namna ya kuongoza dola?

Nani ataiamini Chadema inatoongozwa na DJ kihuni huni badala ya kuwatumia watu waliokomaa kisiasa wanaotamani kujiunga na Chadema yeye anawaza kuwafanyia figisu wale wote wenye mawazo tofauti na uongozi wake?

Uongozi wa Kitaifa wa Chadema umepwaya sana.
Siasa za awamu hii ni nyepesi sana mana CCM ya Bshir ni dhaifu kuliko ile ya Kanali wa Jeshi A.Kinana na Luten wa Jeshi Joseph Makamba. Ni CCM Inayojificha nyuma ya Majeshi wakati wanaoiongoza ni raia kamili.

Chadema ingepaswa kuongozwa na Kamanda Heche na Katibu mkuu awe Kamanda Juma Mwalimu na Mwenezi awe Kamanda Sugu.
Msemaji awe ni Kamanda Mch. Mchungaji Msigwa.
Idara ya Fedha ishikiliwe na Kamanda Komu .

Mbowe angetola na mambo yake ya Ukabila na Chama kingetakasika na kuwa kimbilio la kila mtanzania Msomi na mwenye Maono na nia ya kuitoa CCM kwa gharama ya wenye nchi wenyewe bila kujali makabila yetu.
Hatuwezi kukiunga mkono chama cha Mbowe na ukoo wake uliojivika koti la ukabila wa Hai.

Nawapongeza wakina mama wa BAWACHA kwani wameonyesha kuwa Roho ya Chadema sio Mbowe na fedha yake kama tunavyoaminishwa Bali ni wanyonge wanaoipigania Demokrasia kwa gharama zao na nafsi yao juhudi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi sana wewe. Hoja yako ulivyoitoa mtu abaweza kutafikiri Mbowe alimpa mimba mama yako kisha akamtelekeza ukazaliwa. Tafuta njia sahihi za kupata urithi kama ndicho unachotamani.
 
Kongamano lililofanywa na BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Leo hii katika ukumbi wa Mlimani City halijapata kuonekana nchini sio kwa wingi wake bali VIBE na msisimko wake wa kweli toka kwa wahudhuriaji.

Wamekuja kwa hiari, kwa gharama zao, mioyo yenye furaha na heshima pamoja na kutikuwa na woga wowote na tabia ya watawala kuonea yeyote asiye CCM akiwa na furaha.

Jee Wanawake hawa wakirudi watokako na kueneza ujumbe wa Chadema wa #NohateNofear kwa Wanawake wote nchini na kuwafahamisha kiini cha matatizo yao ni CCM na huku uongozi ukipambana kuleta Tumehuru ya uchaguzi hadi iwepo CCM itapona?

Kumbe kifo cha CCM kimeshikiliwa na Wanawake?
View attachment 1380918

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee wanachoweza kupigania na wasikipate ni "Haki ya Mapenzi ya Jinsia Moja".
 
wakati nakatiza mitaa ya mlimani jana saa 2 usiku. nilikutana na mmama mmoja akiwa na mtoto umri wake kama miaka 9 hivi wa kike wakiwa wamevalia sare za bawacha wote. wakaniuliza watapata wapi dalala za kwenda kibamba nikawaambia kwa sasa daladala za mbezi zimejaa na ni chache labda mchukue bajaji zinapita hapa kwa sh elfu 2. niliguswa sana nikiwa na akiba yangu ya elfu 6 mfukoni nikatoa elfu 5 nikamwambia mama chukua hii elfu 5 mpande bajaji. wakawa wanasita na kusema asante kaka kwa msaada. ila baadae wakapoa. nikasubiri bajaji ikaja wakapanda.

nilifarijika sana kwa umati ule. watu ambao hawasombwi hawapewi hela yoyote wala posho. wanaitikia wito na kuwa na vibe kama lile.

asee bawacha mbarikiwe sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom