Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki
 
Wacha kujifariji wewe ngoma ndiyo kwaaanza ipo juani
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu jumatatu!

Alamsiki!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika uwanja wa itifaki RC hawezi kwenda nje ya nchi kumwakilisha rais... RC ni level ya chini sana... Juu yake kuna mabalozi, mawaziri makatibu wakuu nknk

Jr
 
Wapinzani wanavyotetea hao mabeberu, wanafikiri wao wanawekwa pembeni mambo yakiharibika, mambo yakiharibika ni kwa wote.

Nadhani umeona namna athari ya ujinga isivyobagua. DV Lottery wamefungiwa watanzania wote, hakuna aliyebaguliwa, yaani hata Zito au Fatma au mbowe , wote wamezuiliwa. Beberu hana rafiki zaidi ya kutunyonya.

Mjifanye kuwatetea na kuwapa taarifa za uongo, kumbe mnajiangamiza wenyewe. in the long run. Huko libya , Iraq na kwingineko, wanaumia wote, hakuna anayepona na ujambazi wa hao mabeberu. Ni wezi na wauwaji walio kubuhu.

Huyo Pompeo mwenyewe akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya marekani ndio aliyeleta balaa huko Iraq na kwingineko.
 
Katika uwanja wa itifaki RC hawezi kwenda nje ya nchi kumwakilisha rais... RC ni level ya chini sana... Juu yake kuna mabalozi, mawaziri makatibu wakuu nknk

Jr
Rais anamamlaka ya kumteua kiongozi yoyote kumwakilisha popote
 
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki
Vijana wangu wa Lumumba mnatia aibu. Mmeshindwa kabisa kuwa na msaada kwa chama badala yake mnafanya kazi za kisengerema za kusifia na kutetea wapuuzi na mafisadi papa
 
Back
Top Bottom