Recent content by Aahm

  1. Aahm

    Tatizo la umeme Mtwara tupewe Taarifa

    Kwa muda wa miezi kadhaa sasa pamekuwa na ukatikaji wa Umeme kwenye baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kama vile Mikindani, Msijute mpk Mpapura, wananchi hawaelewi tatizo ni nini, kwa siku Umeme unakatika zaidi ya Mara 6,Mh Waziri tunaomba msaada wako,isitoshe gesi inazalishwa hapa hapa
  2. Aahm

    Natafuta kioo kipya cha nyuma na cha mbele cha IST

    Mimi nilinunua kioo cha mbele cha vitz mwaka Jana pale temeke sudani kwa elfu 90 pamoja kuweka Wakala kama Laki hivi
  3. Aahm

    Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

    wakati ule wa uteuzi mbali mbali Ndani ya serikali kuna watu walilalamika kuwa kuna kaupendeleo kwenye dini Fulani ila wengi hapa mkasema kama huyo MTU alieteuliwa ana sifa basi inatosha hata wote wawe wa upande mmoja,Sasa Leo mnalalamika nini? Hao ccm kama wana sifa basi waacheni waajiriwe,
  4. Aahm

    DED wa Mtama na Mkurugenzi wa umwagiliaji wamkimbia Waziri mkuu na kuzima simu, mh Majaliwa awataka kuripoti Dsm kesho asubuhi

    Hata Mimi nimejiuliza hilo swali,hakuna Kitu kinachoitwa halmashauri ya Mtama,mtama ipo Lindi vijijini na ni jimbo tu
  5. Aahm

    DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Acha chuki za kidini wewe,DPP mpaka Leo hajapata huo ushahidi wewe umeshatoa na hukumu,ndo mana hamtakaa tuwa kabidhi nchi hii tuna jua kile chama chenu ni cha mlengo fulani
  6. Aahm

    Dar: Watu wafurika Uwanja wa Taifa ikidaiwa kuwa kuna shirika la Korea linatoa mikopo

    Hahaha,walitucheka wana Mtwara tuliokunywa uji wa muhogo usiku na nyie Leo yamewakuta
  7. Aahm

    Walimu "WADODA" na barua zao za kupanda vyeo tangu mwezi Mei bila kurekebishiwa mishahara yao

    Na Talghu je au TUCTA wamefanya nini?mbona mnapenda kuwaonea CWT peke yao
  8. Aahm

    Filamu za uchochezi za kidini ZBC2

    Unataka wote tuangalie Emanuel TV,acha udini,mbona mengi ya kidini yanafanyika na watu wanavumilia tu,Fanya ibada kwa Imani yako ukauone ufalme wa mbinguni,hata kama TV zote zikionesha filamu ya Yesu bado hautaingia mbinguni bila kusali au kuswali
  9. Aahm

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    Manispaa ya mtwara mtaa wa mbae mashariki eneo la Komoro nimeenda ofisini wiki iliyopita nimeambiwa nguzo 1pamoja na mita yake tsh 595000 wakati kuunganishiwa pekee ni tsh 321000 hiyo inayobaki ni ya nguzo
  10. Aahm

    Mheshimiwa sana, mfikirie Ndugu Mtatiro ukuu wa Wilaya Tunduru ikikupendeza!

    Naunga mkono hoja hii ila kwa kuboresha zaidi pawe na jukwaa la kero za wananchi ili mkuu azipitie na kuzifanyia kazi,
  11. Aahm

    Ambae aliwahi kukopeshwa pesa na hawa wanaojiita Islamic bank atoe ushuhuda hapa

    Inamaana wewe hujui maana ya faida na riba? I mean interest na profit? Kwa mfano Gari inauzwa milioni 7 ukaja wewe ukaitaka ni kakuuzia kwa m7.5 je hiyo Laki tano ni riba?hapo ni Biashara na sio mkopo kumbuka Biashara haina riba Bali ina faida na hasara
  12. Aahm

    Wananchi wa Mtwara huwa tu Hawasikii. Kikwete mwenyewe alishawatengeneza sana

    Mbona hujahoji yaliyotokea kule kuliko fanyika operation tokomeza ujangili na bado wakachagua CCM? Tuacheni mtwara na ccm yetu bado tunaimani nayo
  13. Aahm

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Naweza pata vitz old model cc 990 four cylinder namba B au C kwa m 3?
Back
Top Bottom