Recent content by A0285

  1. A0285

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua maisha ya u-single ni mazuri na yana furaha. Wewe una mtazamo gani?

    [emoji1737][emoji1737][emoji1737]
  2. A0285

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. A0285

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Ongea na admin bas akupe iyo link mkuu.
  4. A0285

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Wanaofahamu na ambao wanamaduka tayari waje kutufahamisha.
  5. A0285

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Habari zenu JF, Naomba msaada nahitaji kufungua duka la madawa lakin bado sielew procedure zake ni zipi..kuanzia umiliki, natkiwa niwe na elimu ipi, sehem ya kupata mzigo wa dawa. Msaada jamani
  6. A0285

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza

    Ngoja tuendelee kusubiri
  7. A0285

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza

    Wakuu naomba mnisaidie kma kuna mashirika binafsi yanayoweza kutoa mkopo wa elimu ya juu, maana naona ndoto zangu za kusoma zinataka kukatika.. nilipata chuo mara ya kwanza kabsa na nna one ya 9 PCM.. msaada tafadhali
  8. A0285

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza

    Daah[emoji22]..
  9. A0285

    JamiiForums Tanzania Waombaji 25532 wa mikopo elimu ya juu wapata awamu ya kwanza

    Mmi niliconfirm ile mara ya kwnza kwenye multiple ila cjaona jina aisee
  10. A0285

    JamiiForums Tanzania 25,532 wapangiwa mikopo awamu ya kwanza ya tzs 88.36 bln

    Wakuu orodha ya awam ya pili tutegemee yaweza toka lin?
  11. A0285

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Kama una link ya hayo majina naomba tusaidie mkuu
  12. A0285

    JamiiForums Tanzania Multiple selection second round

    Kwel kabsa.. maana ata mmi sion chochte mpaka ssa
  13. A0285

    JamiiForums Tanzania Multiple selection second round

    Mmi mpaka ssa SUA profile iko vile vile cjui ndo nshatemwa au vp!
  14. A0285

    JamiiForums Tanzania Selection second

    Sua ata mmi awajanijib chochte kwnye profile ang
Back
Top Bottom