Recent content by A VILLAGER

  1. A

    JamiiForums Tanzania Fuatilia uefa live hapa !!!

    Hongera Bayern kwa bao 4 kwa kalai
  2. A

    JamiiForums Tanzania Fuatilia uefa live hapa !!!

    kama hapakutoshi Bofya na hapa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Fuatilia uefa live hapa !!!

    Football / Soccer Live Scores and Match Results - ESPN FC Utapata update kila dakika ingawa hautaona moja kwa moja
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Ndo walewale
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    onyesheni hata mlizovaa ndani sasa!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Siku ukikamata tablet si utaimba na wimbo?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Nafikiri imekugonga "delivered"
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwaheri airtel internet!!!!!!

    tulifurahia hapo kale kwa gharama nafuu, na speed kiasi; lakini sasa ni hovyoooooo kabisa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwaheri airtel internet!!!!!!

    Mbali na kuongeza gharama maradufu za kutumia Internet kwa wanaotumia modem, ni wiki moja sasa mtandao huu umeelemewa kabisa, hata kufungua email inashindikana! yaani ni zaidi ya slow. ninachofurahi imenifanya kupata mbadala iliyo bora zaidi. kwaheri airtel
  11. A

    JamiiForums Tanzania Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

    Ni kipindi kinachoendelea asubuhi hii. sijui kama hawa wachambuzi ni timamu kweli!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Ni kweli waislamu wameharibu mali katika makanisa matatu mbagala - kova
  13. A

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Mungu ndo mwenye imani na anaweza kuitetea mwenyewe tu! ulikuja uchi na utarudi hivyo hivyo
  14. A

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    Inawezekana hata vijukuu vyao ambavyo havijazaliwa tayari vimetengewa nafasi tayari!
Back
Top Bottom