Recent content by A.R.M

  1. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Sasa mtaamini waafrika si Binadamu kamili. Burning and Looting

    Duh
  2. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini

    Jamani wanawake kuweni wastaarabu. Kama mwanaume ajajaliwa kuwa na kipato kinachokutosha na wewe umejaliwa kupata pesa nyingi kuliko yeye usitumie kigezo hicho kumnyanyasa kwa maneno au mitandaoni kama alivyofanya "super women" nimepata jibu kwa nini wazee wetu walikuwa hawataki mwanamke kuwa...
  3. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

    Sisi watu wa rika lake tunamuelewa hilo ni bonge LA song
  4. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Maswali magumu majibu mepesi
  5. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Kikwete kwa kutupatia Rais Magufuli, Watanzania tuna raha sana

    Naona baada ya kusikia msako wa wasio na kazi umeamua kujiajiri kwa kupost sifa kwa JK jiandae kuondoka hamna namna
  6. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

    6. Mtoa post kuaibika kwa kusema uwongo
  7. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

    Atakuwa Katibu mkuu wa CCM ya magufuli
  8. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Asifiwi ni historia tu.ikiwa mbaya au nzuri itasemwa hata na maadui zako
  9. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Ni Mtazamo wangu tu. Nikimtazama RC Paul Makonda naona nyota yake kiuongozi inazidi Kung'aa na ni imani yangu kama CCM itaendelea kukaa madarakani atazidi kwenda juu kiuongozi maana kuna vitu anafanya yeye baadae inakuwa maamuzi kwa waandamizi wake. Baadhi ya mambo yanayonifanya niwaze ni...
  10. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Stephen ngonyani std?
  11. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Chiku Gallawa: Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wamedumaa kiakili

    ndio maana CCM wameshinda mkoa mzima.
  12. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Chiku Gallawa: Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wamedumaa kiakili

  13. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Naombenu CV ya mwenyekiti CCM mkoa wa Geita

    Alikuwa anauza simu fake tanga wakamtimua karudi huko
  14. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Rombo hatuhitaji Mbunge wa kukaa Dar mara hii, hizi ni Sifa za mbunge mtarajiwa

    Kuna watu hawaishi ROMBO ila ni wachangiaji wazuri wa maendeleo ya ROMBO na wamewekeza ROMBO vitega uchumi ila kwa kuwa rombo fursa ni chache wamejitanua nje ya rombo kubaki ROMBO sio tija
  15. A.R.M

    JamiiForums Tanzania Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    Pole sana siasa za kitanzania ni kuchafuana tu. Nadhani umeanza vzuri una sera nzuri ukipata urahisi na kuzisimamia tutapata Tanzania yenye neema
Back
Top Bottom