Recent content by a man of the hill

  1. A

    TBC mna bifu gani na CHADEMA?

    TBC imegeuzwa kuwa CHOMBO cha MAFISADI!,.Ndg zangu ni vema tukafahamu kuwa tabia kuu ya Mafisadi ni UPORAJI.Watapora mamlaka ya Umma,watapora maliasili zetu na chochote kile chenye maslahi kwao.TBC si chombo cha Umma tena!,tumeshaporwa siku nyingi,kibaya zaidi tunaendelea kulipa mishahara ya...
  2. A

    Mbowe: CHADEMA hatutaki Ruzuku kwani ni utumwa kwa vyama vya siasa nchini

    Huo ndo muelekeo wa kuchukua NCHI,..CHAMA kinachoaminiwa na kupendwa na watu kitajengwa na watu.CHADEMA ndo TUMAINI PEKEE la kuikomboa NCHI yetu.Hiyo ndo People's Power!!!
  3. A

    Chadema, CCM yametimia

    Chadema inaendeshwa kisomi.Hatuokoti watu kwny vijiwe kama ccm na kuwapa kazi ya kuendesha CHAMA.Tuna mikakati kwa kila kipindi,usiwe unakariri kijana.Sasa tuko kwenye kujenga CHAMA ngazi za chini kabisa na ngazi ya kati.Tunabadilika sisi!
  4. A

    Hamad Rashid na chama kipya

    Mtatiro amechagua kuheshimu tumbo kuliko dhamira yake.Jmos last wiki nimekuta pale Malt park Rozana ameshindwa hata kuniangalia usoni.Amejaa aibu kama mwali aliyetolewa leo!,nafsi yake inamsuta kwa kuchagua kuganga nja na kusaliti mageuzi.
  5. A

    Hamad Rashid na chama kipya

    Mtatiro amechagua kuheshimu tumbo kuliko dhamira yake.Jmos last wiki nimekuta pale Malt park Rozana ameshindwa hata kuniangalia usoni.Amejaa aibu kama mwali aliyetolewa leo!,nafsi yake inamsuta kwa kuchagua kuganga nja na kusaliti mageuzi.
  6. A

    AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

    Tatizo si usimple wa fomu,kitu kinaweza kuwa simple but significant.Tatizo la wabongo usimple huo haushii tu kwny fomu bali unasambaa kwenye ngazi zote za kiutendaji,smtimz mpaka magogoni.Ndo mambo ya bongo hayo wadau!
  7. A

    Mashtaka mapya yanayowakabili Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA

    TIMU KALI YA VIONGOZI CDM IMEPATIKANA JIMBO SEGEREA!...Uchaguzi uliofanyika j2 ya tar19 baada ya kujiuzulu kwa uongozi uliokuwepo,umepelekea kupatikana kwa timu kali(Barcelona).Viongozi waliochaguliwa ktk nafasi ya uenyekiti,ukatibu,na ukatibu wa itikadi+uenezi inasemekana wanapikika chungu...
  8. A

    Mashtaka mapya yanayowakabili Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA

    Watabadilisha sana hati za mashtaka!.,Haki haijawahi kushindwa hata siku1,..Makamanda watashinda,waTz tutashinda na taifa litakombolewa lazima.Msiogope kwa hayo yanayotokea,ni udhihirisho wa kuanguka kwa utawala wa kidhalimu.Huko ndo kutimilika kwa ISHARA za ANGUKO!!!,...
  9. A

    Hamad Rashid na chama kipya

    Hizo ni siasa za mfa maji.WaTZ wanataka siasa zenye tija kwa sasa ni si utitili wa vyama. Huo ndo mwisho wa Hamad na siasa zake za kusaka maslahi ya tumbo.
Back
Top Bottom