Recent content by _spartacus

  1. _spartacus

    Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    2 Wafalme 2:19-22 "19 Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angalia, twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo; lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mapooza. 20 Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea. 21 Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya...
  2. _spartacus

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Shuka nayo imeendelea
  3. _spartacus

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Endelea nayo chini hapo
  4. _spartacus

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    INAENDELEA... Aling'ang'ana mno kunipigania kwa sababu alijua sikua na hatia, na alificha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine, japo nilim-comfront mapema kabla ya chochote. Alijitetea kwamba walikua wamezinguana, hivyo alikua free kuwa na yeyote. Ilibidi niamini kwa sababu hata...
  5. _spartacus

    JamiiForums Usiku wa manane

    2:14 am. Ngoja kwanza ninywe kidogo nikilewa ndo nakuwa mtamu [emoji444][emoji23]
  6. _spartacus

    JamiiForums Usiku wa manane

    1:07 am legends
  7. _spartacus

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nilivyokula Tunda Kimasihara na Kuambulia Kipigo cha Mbwa Koko huko Nairobi [emoji1139] Mwaka 2012 nilijiunga na chuo kikuu kimoja nchini Kenya, ikiwa ni baada ya kukosa course niliyoazimia kusoma katika vyuo vya hapa ndani. Hii ilikuwa mara ya kwanza kutoka nje ya nchi, na wonderful enough...
  8. _spartacus

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    This is legendary [emoji23][emoji119]
  9. _spartacus

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Baada ya hii imebidi nimpigie mzee leo nimsalimie baada ya kama mwezi hivi. Thanks sir!
  10. _spartacus

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Thank you for this opportunity: PROFILE: Profession: Tourism, Marketing and Hospitality Experience: 6 Years Education Level: Bachelor's Degree Location: Dar es Salaam (Willing to relocate)
Back
Top Bottom