Recent content by _name

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vazi bora la mwanamke ni kama lile alilovaa bikra Maria analovaa mama Samia

    Na wew Anza kuvaa kama yesu. Tambua nyakati. Ni ushaur tu!
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

    Miaka 27 watot wa3, Single mother, . 🙆 Oa hii imekaaj, au ulirogwa😂
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi kwa Marekani kuongeza ushuru kwa nchi nyingine kwa kisingizio cha Fentanyl!

    We unatak waachie uhur wakufany biashar marekan. Angalia kwa jicho la tatu, mataifa yote makubw yapo kweny mbio kumtake-over Marekan, na yye kujilinda lazma awek restrictions na afany intimidation Kwa wapinzan. Maslai kwanz urafk baadae.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Ukielew algorithm ya aviator utaach ujing wko
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna watu vichwa sana, sasa tunakwama wapi kuwatumia?

    Vichwa wangap wameshik madarak wakageuk walafi na chawa "wengine Majin unayo", kila mtu ni kichw akiwa anatafut nafasi. "Ni ushaur tu🗣️ "
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Vp umekula Leo¿
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Ukipend boga penda na maua yake. Ni ushaur tu🏃
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    "Natangaza vita dhidi ya shetan" shetan uyo kakufanyia nn au ndo kumuonea tu😂😂
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakifika sokoni wanauliza gharama ya bidhaa zote ndio maana wanachelewa

    Duh! Sema ikutokee😂🗣️
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

    Ata cwez Amin mwak wa 3 unafkria project za kitot, Tena ish ndog 2 ya web based🙆
  11. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Rombo wamuombea Mkuu wa Wilaya apone

    Ujue nmecheka, nkaamua niondoke tu😂🏃
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

    Alie kuroga kakuonea tu 😂
  13. N

    JamiiForums Tanzania GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

    Ko hapo una unaona profit kwel¿ Em tumia ubongo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

    Huo ni udereva kama udereva mwingine. Pigia mstar
Back
Top Bottom