Recent content by 9mm

  1. 9mm

    JamiiForums Tanzania Tuchemshe bongo kidogo

    29
  2. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

    Pure gold-digger
  3. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urembo Kwa wanawake na Nguvu Kwa wanaume

    Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada. Uumbaji wa dunia na vilivyomo ni wenye kupendeza na kutukuka sana. Ila kwa bahati mbaya mwanaadamu...
  4. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatamani kuishi wapi hapa Tanzania ili wenyeji tukupe Abc?

    Tunduma ni pazuri sana, nitarudi
  5. 9mm

    JamiiForums Tanzania Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    Ifungue kwa muda
  6. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Apelekwe surgery
  7. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupiga kelele (moaning) kwa wanawake wakati wa tendo la ndoa si ishara ya kuridhika

    Sahihi mkuu, halafu ukute ni binti wa kisambaa
  8. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjifunze kuachana kwa amani kama hivi

    Halafu utajiitaje mnyonge?
  9. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

    Nakazia
  10. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mke/girlfriend anaweza kukutia mkosi maishani na usifanikiwe mambo yako?

    Tunaisha katika namna kuu tatu, akili mwili na roho. Mwili - ni wewe katika umbile, ukijitazama kwenye kioo utajiona. Akili - ni wewe katika ufahamu na yale unayo yajua. Roho - ni wewe katika nje ya akili na mwili. Tuziite hizo namna tatu ulimwengu, kwa hiyo kuna ulimwengu wa mwili akili na...
  11. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siheshimiwi mtaani kwa sababu sijaoa

    Relax, ndoa si mashindano. Piga kazi, kula vizuri na jipende. Man has no expire date.
  12. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namsaidiaje mdogo wangu huyu angalau awe msafi?

    Dogo hana driving force
  13. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

    Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
  14. 9mm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

    Niliwahi kupiga mara moja, nikasema sitakuja nirudie tena. Sikuweza kuadjust kipigo so ki ukweli mtoto wa watu alichezea kipondo.
Back
Top Bottom