NACTE? haijulikani mkuu, cha msingi nenda kwenye vyuo ulivyoomba ukatazame kozi ulizoomba, mie nimeenda DIT sipo katika kozi nilizo omba, na UDSM majina ya Equivalent ni ya kuhesabu, na katika majina ya walio kosa vyuo sipo lol!
Kama mimi mkuu, yani niliomba DIT na UDSM alafu pote sipo yani, na majina ya waliokosa sipo. Now nimetoka DIT kuangalia majina napo simo katika kozi nilo omba... yani nimebaki nashaa tu... ngoja niendelee na kazi maana huu ni uhuni...
Unatakiwa kua mkweli mbele ya jamii yako, waambie Dushelele ya huyo jamaa ni kubwa na kwamba inakumiiza mnapo kua kwenye game, pia unachoogopa zaidi kadri siku zinavyo kwenda ndio linazidi kua kubwa. Au unaonaje>
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.