Recent content by 90sgeneration

  1. 90sgeneration

    INAUZWA Hisense Refrigerator lita 205, clean sana

    Pole mkuu, nimeattach tayari
  2. 90sgeneration

    INAUZWA Hisense Refrigerator lita 205, clean sana

    Poleni , nilijua nimesha attach photos kumbe bado
  3. 90sgeneration

    INAUZWA Hisense Refrigerator lita 205, clean sana

    HISENSE REFRIGERATOR LITA 205 | CLEAN SANA ✅ BEI 550,000/= UBUNGO PLAZA Call/Whatsapp: 0749378669
  4. 90sgeneration

    Hisense Smart tv Uhdtv 4k 50 inauzwa - 720k

    Hii ni used. Imetumika miezi minne tu, inauzwa for emergency
  5. 90sgeneration

    Delta fridge lita 132 inauzwa

    DELTA FRIDGE LITA 132 INAGANDISHA NA KUPOOZA VIZURI SANA. HALINA CHANGAMOTO YOYOTE BEI: 370,000 Tu Ubungo Plaza Call/Whatsapp: 0749378669
  6. 90sgeneration

    Hisense Smart tv Uhdtv 4k 50 inauzwa - 720k

    HISENSE SMART TV UHDTV 4K 50" INCHES FULL BOX BEI 720,000/= TU Location: Ubungo Plaza Call/Whatsapp: 0749378669
  7. 90sgeneration

    Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

    mi mwanamke, hata yakiwa wazi its fine, vipi yako yakiwa wazi mtu mzima ovyo? au na we yako wazi already?😏
  8. 90sgeneration

    Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

    pu Huna hata haya mwanaume mzima😏
  9. 90sgeneration

    Nishauri jambo kuhusu QT

    ooh asante sana mkuu, ubarikiwe🙏 , basi wacha afanye hivo mkuu.
  10. 90sgeneration

    Nishauri jambo kuhusu QT

    Wakuu habari zenu. Kuna binti alimaliza kidato cha nne 2022. Lakini alisoma Art subjects, sasa anatamani kusomea afya awe nurse. Sasa anauliza kama anaweza kusoma QT masomo ya science ili apate credit za masomo ya physics na chemistry na bios, japo biology alipata B kwenye matokeo yake ya fm4...
  11. 90sgeneration

    Naomba kujua kuhusu gharama za Plastic Surgery kwa Tanzania zikoje kwa mwananchi masikini

    au at least wawe na kiasi gani makadilio unayoona inaweza kufaa kwenda nayo hospital?
  12. 90sgeneration

    Naomba kujua kuhusu gharama za Plastic Surgery kwa Tanzania zikoje kwa mwananchi masikini

    nimekuelewa mkuu, na thats why hawataki wajue exactly amount, ila angalau tu wajue inaweza kufika au kutozidi how much ili wakakope kiasi kitakachoweza kusolve tatizo, ikipungua itakua vizuri, lakini isizidi wakashindwq
  13. 90sgeneration

    Naomba kujua kuhusu gharama za Plastic Surgery kwa Tanzania zikoje kwa mwananchi masikini

    Wakuu habari zenu. Samahani, ningependa kujua gharama ya kufanya plastic surgery ya bega na mkono kwa ujumla inaweza ku range kiasi gani approxmatry? na ni hospital gani wako vizuri kwenye hii plastic surgery issue? Kuna shoga angu mdogo ake ameshaulowa na madaktari afanyiwe plastic surgery ya...
  14. 90sgeneration

    JUX na Vee Money mpambano unaendelea

    ni kweli, Jux ndio bado anaumia ndio maana anajaribu kumuonesha vee kua na yeye anaweza, ndo mana nae kaenda kuoa Nigeria, arelax tu apooze machungu
Back
Top Bottom