Recent content by 87Method

  1. 87Method

    Namna Mwekezaji Bill Ackman alivyogeuza $27m kuwa $2.6b ndani ya mwezi mmoja (almost 10,000% ROI)

    Wanakuja kwenye hii generation ya 2000's wapo wengi tuh sema ndio bado wanajikusanya kwanza
  2. 87Method

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Aaaahh! Kmk ni nomaa 🔥🔥🔥 oya Broh hii story kama vile straight outta hollywood mzee
  3. 87Method

    Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Hamna kitu kama "haki sawa" kwenye dunia hii Chief.Life aint equal and nor is it fare
  4. 87Method

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo kimara suka

    Kiwanja nikizur Sana Kinauzwa kipo kimara suka Ukubwa ni mita 20 kwa 22 Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700 Pkpk Tsh. 1000 Barabara safi. 📞 📲 call/whatsapp: 0689859495 no cheni namaliza biashara
  5. 87Method

    Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

    Dah brother kweli,uli wakomesha for sure😂😂🙌 uli wapa show ya maana,thats how it supposed to be hamna sababu ya kuchekeana kwenye issues kama hizo
  6. 87Method

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Hamna mkuu..fetish zingine better left unsaid 😅😅
  7. 87Method

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Ninazo nyingi tuh mkuu nyingi naona zimetajwa hapa..Sema kuna mmoja iyo it's crazy kusema on public😅😅😅
  8. 87Method

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Aisee mimi i would rather not say 😂😂🙌
  9. 87Method

    Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

    Mkuu naomba connection ya mashamba ya kukodi hapo ruvu chief
  10. 87Method

    Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Unalimia Chanika maeneo gani? Chief mashamba yanapatikana maeneo ya uko?
  11. 87Method

    Natafuta business partners/investors

    Starting with your first question i dont have experience kweny kutengeneza hizi apps lkni what i do have is Data,A well planed strategy and the business acumen for the execution of this investment thats why i seek people with such abilities for creating these apps When it comes to investing we...
  12. 87Method

    Natafuta business partners/investors

    Yes i do understand cause i have learned why these other applications /companies failed and are not successful because they did not consider basic things such as Usability (User friendly interface) Content that they make available to their clients And mostly prices that fit within the...
Back
Top Bottom