Recent content by 86TWY

  1. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Sio kosa lako.... Itafika siku utaelewa na kujenga ustaarabu Kwa binadamu wenzio. Wahenga walisema, "asiyefunzwa na mama yake...".... Ulichoandika kinaenda na malezi uliyopata.
  2. 86TWY

    Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Bangi inasaidia Kwa wakati Huo ila ni sumu inayoua seli za ubongo polepole. Ubongo utasinyaa siku zinavyozidi kwenda na mtu anazidi kutumia Kwa wingi. sehemu kuu za kuongeza njaa na shine, Usingizi, ari ya kufanya kazi zinaathirika...... Unaanza kuhitaji kushtua kupata njaa.... Kushtua kwenda...
  3. 86TWY

    Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Mkuu hapa sio kabisaaaa..... Mashauri aende hospitali apewe dawa Kwa uangalizi mzuri apone. Dawa kama njugu person atapata maudhi na kukosa faida....... Je kama amemeza TCA juzi? Au chai yake ni ya st. John's wort???........ Chonde Chonde Kuna sababu ya watu kukesha wanasoma kuweza kutoa huduma...
  4. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Mfano wa kiburi au kiburi Cha awali (conduct disorder or oppositional disorder or explosive behaviour) kinaanza person kujijenga akivuka miaka mitatu. Kabla ya hapo mtoto anakua anaonyesha kile kilichopo kwenye mazingira (anakua kioo). Akivuka miaka mitatu ndio tabia inakua imejitengeneza kuweza...
  5. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Sio nia yangu kukuelekeza maelezo ila tafuta majarida ya kukupa person mawazo jinsi ya kumuadhibu mtoto pale anapofanya kitu ulichomkataza.... Ukituma nguvu na Amani kumpa maumivu anajifunza kuwa Hilo ndio lengo kuu mtu akikosa. Akikua person tabia haiishi ila itabadilika na kujionyesha Kwa...
  6. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Inaonekana unauzoefu.... Kwa kauli zako tu umepitia mlezi kama hayo. Pole. Hiyo siyo malezi mbaya, ni dalili ya changamoto kwenye sehemu ya ubongo ya utambuzi wa mawasiliano, utulivu na ufanunuzi wakati wa ukuaji wa mtoto. Hitilafu hii inaweza kuwa ya muda, I ya mpito au sugu. Mara nyingi...
  7. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    SI SAWA.... Ndio atampoteza na kutengeneza changamoto kubwa zaidi Kwa kumchapa.... Kuna tiba zenye uwezo wakutatua Hilo kitaalam. Mtu akiumwa tumbo na kutapika tunamnyima kula kabisa abaki njaa au😅😅😅..... ?? . Tusitoe majibu na suluhu ilimradi tu..... Aende Kwa wataalamu..... Ila Nami...
  8. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Na shauri Asimchape!!! Tatizo litazidi kuwa kubwa. Haishauriwi kumchapa mtoto, hasa anaye react hivyo. Kama Ni kipele atatengeneza jipu!!!!!! Aende Kwa Daktari bingwa wa mfumo wa fahamu, saikolojia na ukuaji ubongo wa mtoto atamsaidia. Ni kitu kinatibika person kirahisi kitaalam....ila...
  9. 86TWY

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Pole sana , tafuta mtaalam wa mahusiano ya watoto na mlezi au mwanasaikolojia wa watoto. Ila kipindi unapanga kukutana na mtaalam fanya yafuatayo kupunguza mtoto asijiumize: 1.usimnyanganye kitu au kumkataza kitu Kwakumkaripia, ongea nae Kwa utulivu pale unapohitaji kumhasa asifanye kitu...
  10. 86TWY

    M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

    Hongera mimi hadi Leo hawajanirudishia hel.... Na muda wamenipoteza na bado napewa jibu kuwa mbona nahangaika na hela ndogo $30. Kama Kuna uwezekano wa malipo kurudi sikushauri utumie njia hii. Ni ngumu kupata hela yako kama malipo yako yamerudi....
  11. 86TWY

    Msaada: Dawa ya Degedege

    Naomba kufahamu sababu ya kutokuafiki hospitalini
  12. 86TWY

    SoC03 Hatua za kuchukuliwa ili kumaliza vitendo vya ukatili na vitisho kwa watumishi wa umma vijijini

    Asante Kwa kuonyesha upande ambao UPO na unakosa kuonwa Kwa uhalisia wake wa kikatili na uovu Wenye kututokomeza Wenyewe. Inasikitisha ila napata Tumaini kuona kuwa watanzania tunatambua uwepo wa hay MATUKIO.
  13. 86TWY

    Chunusi zinanisumbua mwenzenu

    Pole Sana. Tafadhali. Muone Daktari bingwa wa ngozi. Utasaidika saaana.
  14. 86TWY

    Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Inaweza isiwe autism ikawa kitu kingine...... Nakubali Ana nawe Dr. Kija ataweza kuwa msaada mkubwa kutambua ni nini. Paediatric Neurologist atasaidia sanaa🙏🙏🙏🙏
  15. 86TWY

    Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Nahisi haya mambo tuwaachie wataalamu. Hata mtaalam hawezi kujua kama. Kukaa. Kimya Kwa mtoto ni Kutokana na nini bila kufanya uchunguzi wa Ana Kwa Ana. Kukaa kimya Kwa mtoto inaweza kua sio tatizo au matoke ya mabadiliko, mshtukk, ukatili, taharuki, mabadiliko ya sehemu ya kuchanganua matamshi...
Back
Top Bottom