Recent content by 80M

  1. 8

    Utata wa neno asilimia

    Dr. Yupo sahihi. hapo ni kwamba hizo 80% za kwenye ubongo, 25% za mifupa n.k nazo zipo kwenye 70% ya maji kwenye mwili. mfn. hiyo 80% za maji kwenye seli za ubongo huwenda ni 9% ya maji yote mwilini (ni mfano si halisia).
  2. 8

    Nukuu ya leo

    Ulicho andika kina mashiko sana nakubaliana na wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. 8

    Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

    Niliangalia vibaya Hana ulemavu wa mkono. Samahani kwa usumbufu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. 8

    Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

    Nashukuru kwa kunielekeza Sent using Jamii Forums mobile app
  5. 8

    Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

    Niliona kimakosa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. 8

    Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

    Ni kweli sikuona vizuri. Niwaombe samahani kwa usumbufu uliojitokeza Sent using Jamii Forums mobile app
  7. 8

    Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

    Mbona kama Sharon mfyatua tofali na Sharon aliyegraduate ni watu wawili tofauti? Mfyatua tofali mkono wa kushoto ni mlemavu na aliyegraduate mikono yote mizima. Au alianza kudraduate kisha akakatika mkono akaanza fyatua tofali then akarudi kusoma tena masomo aliyodraduate? Sent using Jamii...
  8. 8

    Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

    Shida sio uwingi wa ngumi ila amepiga wap? Mwakinyo alipiga nyingi za kichwani(uso) ambazo zina pointi nyingi
  9. 8

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu naomba kujuzwa kama kunauwezekano wa kubadili injini ya subaru legacy bl 4, 2004 na kuweka injini ya toyota na kama inawezekana ni injini upi inafaa zaidi.
  10. 8

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Bongo Dar es Salaam - Prof. J
Back
Top Bottom