Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,774
Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;
Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.
Nimekutana na ubishi mahala mtu aliyejitanabaisha kama Dk.... akibishana na mwenzake kuhusu sentesi ambayo mwenzake alisema haina mashiko, je hii sentesi ya Dokta iko sawa kwa mujibu wa mgawanyo wa asilimia?
"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"