Recent content by 7ve

  1. 7ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

    Hehhe nyimbo zake tu mimi ndiyo zilikuwa zina niacha hoi hata haeleweki anaimba nini hehehe amesumbua sana jf hapa
  2. 7ve

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu hii kitu inasababishwa na nini na tiba yake ni nini maana ni maajabu daah!

    Huyo mbona kama baba kighan
  3. 7ve

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vitasa vya milango ya mbao tupeni ushauri

    Chukua orando(Italy) bei kati ya elfu 50 mpaka 60 inategemea na eneo ila ivyo vitasa vingine jiandae kuvunja mlango kwa kitasa kuji lock
  4. 7ve

    JamiiForums Tanzania Wanaobisha kuwa wahuni hawaja print pesa, tazama hapa

    Hehehe kumbe % kubwa ya watz akili kichwani ni hakuna kitu, na hii lawama iende kwa ma ccm yaani miaka 60 ya madaraka yao bado ujinga haujatoka.. Na mtapelekeshwa na yule dada mwembamba wa marekani mpaka mbweke kama mbwa. Na wewe shabiki wa uto ebu acha kujiabisha kwenye huu uzi wako wakati huna...
  5. 7ve

    JamiiForums Tanzania TRC: Ajali imesababiswa na hitilafu za kiuendeshaji

    Si nimeskia trc wamesharudisha huduma toka jana au ni siasa tu
  6. 7ve

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar limechukua Uongozi wa nchi! Eti TV za Bongo wanashindwa kutangaza kwamba

    Hata mimi imenishangaza kwa kweli,media kubwa za bongo zote ni waganga njaa wa ccm tu na unafiki wao ndiyo unaonekana hapo.
  7. 7ve

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

    😆😆😆 ndiyo machawa wanavyo mjaza.
  8. 7ve

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

    Nani kakwambia watz tunategemea jeshi ili kujikomboa? Kwa taarifa yako watz wakiamka kudai ukombozi dhidi ya hii serikali ya ufisadi hakuna wa kuwazuia. Ni kwamba tu ccm bado imeshikilia vichwa vingi vya watz wasio jua lolote linaloendelea katika nchi yao.
  9. 7ve

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Aishie huko huko kanda ya ziwa kwa mangosha wenzake
  10. 7ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFADHALI piga picha na wazazi wako

    Katika vitu ambavyo nimeshindwa ni kupiga picha zangu au na watu na nina simu yenye ubora mkubwa tu wa camera na siku niki kata kamba wadau wata hangaika sana kutafuta picha za kunipost kwamba rip.
  11. 7ve

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Hao waamuzi mbona kama wamesha chukua ela za yule jamaa muuza magodoro.
  12. 7ve

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umati wa Vijana wa Tabora wakielekea kwenye Kampeni za Mgombea Urais CCM Dkt. Samia

    Hapo hamna vijana ni "vijana njaa" washapewa elfu 30 ya kula sasa wanaifanyia kazi hiyo ela waliyopewa.
  13. 7ve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Tunapolekea kwenye Uchaguzi, kauli ya Sheikh huyu kuhusu wanawake ni msimamo wake binafsi au ndo msimamo wa Uislamu?

    😀😀 mbona huyo huyo shehe alikuwepo kumuombea mama kwamba mama apite na mitano tena na dua akasoma.
Back
Top Bottom