Hivi Kolomije na Pasiansi ni mjini...??? Unaijua Pasiansi enzi makonda anakua ilifananaje?
Makonda ni mtoto wa kijijini anayepambana kuendana na watoto wa mjini...! Ndiyo maana jana ameshangaa kuwa "hakuna mchaga mtoaji ila marehemu..."
Anajulikana Sana. Na si akijipanga, ameshajipanga na timing zinaendelea kila anapokaa anaropoka "nitakapokuwa mbunge", na mwenye Jimbo nadhani anelewa.
Leta ukweli unaoujua wewe...! Mbona unakuwa Kama umefanyiwa ukaguzi na CAG.
Na yule Mkuu wa mkoa Msukuma aliyeko Kaskazini mbona kila siku (usiku na mchana) anatokwa udenda kuchukua jimbo la Kitwanga Mawe Matatu, mbona hajasutwa? Au intelijensia yetu ni kwa wabaya wetu?
Hakuna Auditor wa hovyo kiasi hicho ndugu, amekutana na vocha bilioni kadhaa zimenunua vifaa mlivyopitisha na vifaa vipo then aandike kwamba hakukuta kitu. Kama taratibu za malipo zilikiukwa ila vifaa vipo ataandika query ya kukiuka taratibu za manunuzi)maliopo. Utetezi wa waziri unawaumbua TPF...
Hapo hakuna siasa kali wala dini kali, mfano wa mbwa kwa mtu ni dhihaka kubwa. Nasimama na CAG na si Ndugu ai kwa kuwa ni Mkristo...!!
Kwanza Ukristo ni Utu wema, kiasi, upendo...kumtia mtu misuko suko kwa kuwa tu hafuati mawazo unayoyaamini ni dalili ya kukosa ucha Mungu.
Upumbavu mtupu...!! Kuelimika ni kile kinachobaki kichwani baada ya miaka ya masomo, inawezekana Kitila aliviacha vyote kwenye Course Work na Assad alibaki na ujuzi wa taaluma yake kichwani.
So kazi ya Jeshi la Wanasiasa Tanzania limekuwa reduced to this extent? Na wale wa jirani na Chuo Cha Ushirika Moshi watoe matamko gani? Are we a shaken state? Kila mwenye kitengo anaropoka kivyake, usinitishe kana kwamba nimetaka mabaya juu ya nchi yangu, ninyi kucha kuchwa mnampotosha mfalme...
Hivi bundi wengine wanakuja lini? Nimemiss water cannon salute...!! Halafu Mumbai hawaendi tena ilihali uliwaleta wateke soko la akina Ndugu ai kwenda Kliniki Apollo India
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.