Kuna nini kati ya Mheshimiwa Rais Magufuli na Ludovick Mwananzila?

Halo JF.

Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.

Mwananzilia alishika nafasi ya unaibu waziri ktk awamu ya kwanza ya Kikwete na mkuu wa Mkoa ktk awamu ya pili baada ya kukosa ubunge mwaka 2010.

Rais Magufuli anamlaumu Mwananzila kwa kuwa baada ya kukosa ubunge 2010 aliteuliwa mkuu wa Mkoa lakini 2015 kwa tamaa zake alirudi tena jimboni kwake kuomba ubunge ilihali ana cheo kikubwa serikalini. Alifika mbali kwa kusema Mwananzila hafai hata kuwa Katibu Tarafa na ndiyo maana kampoteza kabisa. Aliwaambia wajumbe wakafanye kazi bila woga.

Je ni kwamba hivi sasa RC, DC, DAS, RAS, Makatibu na Manaibu katibu mkuu wizara na wakuu wa idara wakigombea ubunge watapoteza nafasi zao na kuonekana wenye tamaa? Je wakishindwa ubunge wajiandae kutafuta kazi nyingine?

Vp kuhusu Katibu mkuu wa wizara anayenyemelea Ubunge jimbo la Iramba Magharibi ataonekana ana tamaa akijitosa kugombea na atapoteza ukatibu ikiwa ameshindwa?

Je kuna kuhitilafiana kwingwine kati ya Rais na Ludovic Mwananzila au ni kugombea tu ubunge 2010 na 2015 na kushindwa kote na kuonekana mwenye tamaa sana?

NB. Clip ya video ya Whatsup ya Rais akimnanga Mwananzila nashindwa jinsi ya kuiambatanisha na habari hii.
Umeongea kwa kuonyesha upeo mdogo sana wa akiri yako.
 
..Mwananzila hakuwahi kufundisha chuo cha chama kivukoni, au chuo cha watumishi wa umma?

..I thought the guy was clean, na hana mambo rushwa-rushwa.

..Au alikuja kubadilika?
...sijaona hiyo video so sijajua tatizo haswa ni nini....
 
Halo JF.

Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.

Mwananzilia alishika nafasi ya unaibu waziri ktk awamu ya kwanza ya Kikwete na mkuu wa Mkoa ktk awamu ya pili baada ya kukosa ubunge mwaka 2010.

Rais Magufuli anamlaumu Mwananzila kwa kuwa baada ya kukosa ubunge 2010 aliteuliwa mkuu wa Mkoa lakini 2015 kwa tamaa zake alirudi tena jimboni kwake kuomba ubunge ilihali ana cheo kikubwa serikalini. Alifika mbali kwa kusema Mwananzila hafai hata kuwa Katibu Tarafa na ndiyo maana kampoteza kabisa. Aliwaambia wajumbe wakafanye kazi bila woga.

Je ni kwamba hivi sasa RC, DC, DAS, RAS, Makatibu na Manaibu katibu mkuu wizara na wakuu wa idara wakigombea ubunge watapoteza nafasi zao na kuonekana wenye tamaa? Je wakishindwa ubunge wajiandae kutafuta kazi nyingine?

Vp kuhusu Katibu mkuu wa wizara anayenyemelea Ubunge jimbo la Iramba Magharibi ataonekana ana tamaa akijitosa kugombea na atapoteza ukatibu ikiwa ameshindwa?

Je kuna kuhitilafiana kwingwine kati ya Rais na Ludovic Mwananzila au ni kugombea tu ubunge 2010 na 2015 na kushindwa kote na kuonekana mwenye tamaa sana?

NB. Clip ya video ya Whatsup ya Rais akimnanga Mwananzila nashindwa jinsi ya kuiambatanisha na habari hii.
Mwananzila aliwafukuza wasukuma na mifugo yao kuingia Jimbo la kalambo kabla sumbawanga Kijijini. So ni hasira za wasukuma was shinyanga.
 
Halo JF.

Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.

Mwananzilia alishika nafasi ya unaibu waziri ktk awamu ya kwanza ya Kikwete na mkuu wa Mkoa ktk awamu ya pili baada ya kukosa ubunge mwaka 2010.

Rais Magufuli anamlaumu Mwananzila kwa kuwa baada ya kukosa ubunge 2010 aliteuliwa mkuu wa Mkoa lakini 2015 kwa tamaa zake alirudi tena jimboni kwake kuomba ubunge ilihali ana cheo kikubwa serikalini. Alifika mbali kwa kusema Mwananzila hafai hata kuwa Katibu Tarafa na ndiyo maana kampoteza kabisa. Aliwaambia wajumbe wakafanye kazi bila woga.

Je ni kwamba hivi sasa RC, DC, DAS, RAS, Makatibu na Manaibu katibu mkuu wizara na wakuu wa idara wakigombea ubunge watapoteza nafasi zao na kuonekana wenye tamaa? Je wakishindwa ubunge wajiandae kutafuta kazi nyingine?

Vp kuhusu Katibu mkuu wa wizara anayenyemelea Ubunge jimbo la Iramba Magharibi ataonekana ana tamaa akijitosa kugombea na atapoteza ukatibu ikiwa ameshindwa?

Je kuna kuhitilafiana kwingwine kati ya Rais na Ludovic Mwananzila au ni kugombea tu ubunge 2010 na 2015 na kushindwa kote na kuonekana mwenye tamaa sana?

Jambo hili liko sahihi kwa kila pande ukiamua kulitafakari kwa angle hiyo.

ALICHOSEMA DR. MHE. JOHN POMBE MAGUFULI NI SAHIHI
Yeye kama Mwenyekiti anayo mamlaka ya kukiongoza chama katika misingi anayoamini yeye itaifikisha nchi na chama katika nchi ya asali, kama ulikua Mkurugenzi, Mkuu wa Mkoa au wilaya DAS au RAS kama utendaji wako wa kazi upo madhubuti na unafanya vizuri, huna sababu ya kuweweseka na vyeo vingine kwakua huishia kuleta migogoro na migongano ya ndani na kutishia utendaji kazi.

Aidha, hutengeneza makundi na kukigawa chama katika team ambazo hazina tija hasa ukizingatia mnajenga jengo moja.

ALICHOKISEMA MHE DR JOHN POMBE MAGUFULI SIO SAHIHI.

Kikatiba ni haki ya kila mtanzania kuchagua au kuchaguliwa katika nafasi yeyote iwapo ametimiza vingezo hitajika katika nafasi hiyo.

Aidha, si vibaya kujipima uwezo wako katika siasa kwa kuwa face wananchi kwa kuwaambia muarobaini wa matatizo yao unao wakaamua kukupa au kukunyima kura.

Wachache wao huziona zile nafasi kama silver plate flani hivyo kuhisi si stahiki au ukipishana na mkubwa au matakwa ya aliyekuweka unaondoka ilhali ubunge process yake huwa ngumu kidogo kwakua lazima wakufukuze uanachama.

NB
Yote kwa yote Mwenyekiti wa Chama ndiye mwenye kura ya veto katika maamuzi na mikakati ya chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umegonga kotekote
 
Ugomvi wa malisho ya wasukuma.jpm kajifanya mjuaji nini??
 
Back
Top Bottom