Recent content by 6PN

  1. 6

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Nani alizaliwa CDM? Wote tumetoka huko. Waachani waje maana mtaji wa chama ni wanachama.
  2. 6

    Tupo Huru Uraiani: Mapambano Yanaendelea Rombo

    Hata pale keni palikuwa na huo mgogoro sijui uliishia wapi! Lakini polisi wanafaham vizuri kabisa wanarombo jinsi wasivyo na mchezo kwenye mali zao. Wanakumbuka ile ishu ya jamaa wa shimbi aliyemteka mtoto wa kike wa keni.
  3. 6

    PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    Mimi nasoma Masters chuo fulani hapa Moshi darasa lina wawili tu wa hiyo dini na ukiangalia tupo 34 sasa tukisema wote tunatuma barua za maombi probability ya kupata ajira itakuwa wapi?
  4. 6

    Nauza shamba

    Aise 20 hapana maama kimejaa kifusi cha moram ya uhakika. Sema kwa vile nahitaji hela ya haraka ningeuza kwanza huo moram.
  5. 6

    Nauza shamba

    Rombo mengwe karibu na kanisa la ngoyoni au ngoyoni hospital. Naliuza kwa sababu nataka nnunue lingine sehemu nyingine.
  6. 6

    Nauza shamba

    Nauza shamba eka mbili na nusu lipo maeneo ya Ngoyoni Rombo. Bei milioni 40 tu.
  7. 6

    Natafuta mwenye iPhone 3Gs tubadilishane na Nokia Lumia.

    Ninayo kama hujapata! nitafute kwa 0784690018
  8. 6

    Mvurugano Bunge la katiba: CHADEMA yatishia kususia bunge hilo

    mbona walivyosusa sheria ya msbadiliko ya katiba hamkusema? Je haikurudi bungeni mara ya pili kwa marekebisho? wale waliosema ndiooooo! hawakuchangia tena? Tusiwe masuzu! Agenda ya katiba mpya iliibuliwa na nani? Bado twasema hawa watu hawana mchango kwa taifa hili! kwa kweli napata taabu...
  9. 6

    Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Aliyekuwa naibu waziri wa Elimu ana shahada ya chuo kikuu lakini mwambie atamke 1961 kwa kingereza!
  10. 6

    Rav 4 vs Xtrail

    xtrail inameza mafuta ile mbaya!
  11. 6

    Rav 4 vs Xtrail

    Hata kama unanunua mpya usijaribu kabisa Nisan utakoma kuzaliwa! ukija nalo huku kijijini ukawa na kamzigo kidogo tu kila kamlima lazima ushushe kwanza mzigo ndo lipande vinginevyo hupandi! kwenye mlima ni ya ovyo sana! Gari Toyota utaipenda mwenyewe!
  12. 6

    Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

    hata cku moja serikali haiwezi kufanya hivyo! Mi ni mwajiriwa tayari tangu 2008, ukisema % je wale wa dip na chet ni % ngapi? Hamna cha ba mdogo hapa kinachojulikana ni kwamba serikali ilikuwa haina hela! we fikiria mpaka sasa hivi bado fungu la kwenda Btp kwa waalimu wa cheti na diploma bado...
  13. 6

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    meno tu? twiga je walipitaje pale KIA?
Back
Top Bottom