Recent content by 5ty

  1. 5ty

    JamiiForums Tanzania Huwa inatokea Marafiki wakipotezana wakijakukutana urafiki unaisha / unashuka

    Kabisa unless otherwise kuwe na force ya kuwa unite tena,
  2. 5ty

    JamiiForums Tanzania Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  3. 5ty

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

    Sjuii ndomana nkasema hivo, ngekua najua ngesema chochote kitu
  4. 5ty

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

    Ngoja waje kutujuza wataalam
  5. 5ty

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

    Ngoja wataalam waje watujuze
  6. 5ty

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba kuelekezwa chimbo la kardet, jeans na tisherts kwa kariakoo
  7. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Tutiane tu moyo
  8. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Mngekuwa mnajua mnaniumiza kusema nimewapa chai bas tu Mungu anitie nguvu
  9. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Kwahiyo mm kusemwa tasa sizai na kutaka kufunguliwa kesi ya mauaji unaona hayana uzito bali ya yy kusemwa hadharani? Can imagine wazaz wangu wanapokea taarifa nimefunguliwa kesi ya mauaji, hapo bado jamii inaninyooshea kidole nimemkimbia mume ksa sizai, ila yy astiriwe? Hiv umefikiria mara mbili...
  10. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Ndugu walikuwa wananismanga sizai mara tasa mateso niliyopitia najua mm ndo chanzo cha kumkimbia kwenda kuish mwenyew akanywa sumu ndugu wakataka kuniweka ndani kua m sabab ya ndugu yao kujiua ikabid kikaliwe kikao nikayaxungumza hayo, kunawatu mnakimbilia kuhukum bila kujua mtu anapitia nn bora...
  11. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Halijakukuta una haki ya kuona ni chai may God be with you
  12. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Wana ndo akina nani? Please try to use simple language im a lady, kuna luga ukitumia i wont get the content
  13. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Nilishaondoka akanywa sumu akawahishwa hospitali na tukawekwa kikao akajib atakuwa sawa, unajua sometimes inakufanya ujiskie vibaya kila siku kuwapigia kelele ndugu juu ya tatizo la ndoa yako na mtu wao mwisho wa siku wanaamua kukausha,. Nshafanya effort nyingi sana juu ya hili tatizo
  14. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    I dated him for 4 years before marriage , and we used to have sex normally with no doubt tatizo lilianza after posa,
  15. 5ty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inataka kunishinda

    Thanks for the advice
Back
Top Bottom