Mwamposlisaaa” ukitoa sadaka unaombewa upate gari, unapewa mafuta sasa kwa nn? Usitoe sadaka
Na kwani maskini anatoa sadaka asilimia ngapi? Ya alichonacho na hizo sadaka zinafanyiwa nn? Na nan?
Et..
Ni kweli ila kwetu mambo mengi sana
Ukiwa na pesa nyingi alaf haupo mwenye chama au muongozo wanaoutaka wao wanaanza kujaribu kukutingisha kwa kukushusha
Tofauti na mbele ukiwa na pesa nyingi, wengi wanazo so wanaona kama hauna kitu vilee so ni kawaida
Kila mtu analalamika hali mbaya hapa nyumbani na walio mbele wana hali nzuri wengi wao
Africa mambo magumu sana ukipata nafasi ya kusafiri nchi za nje huko ulaya usijifikirie mara mbili
Jana BBC swahili walipost habari kuna mwanadada ana sehemu mbili za uke
Ilinifikirisha sana pia ana mifuko miwili ya uzazi .. inasikitisha
Hauwezi kusema M/Mungu kampendelea au kampa mtihani kwa hali yake hiyo; anaenda kufanyiwa upasuaji ili abaki na sehemu moja na mfuko mmoja wa uzazi...
Punyeto, piga kwa mwezi mara 8 yaani kwa wiki mara mbili baada ya mwaka vitaisha ivyo vichununge
Hakikisha unapiga punyeto kwa ustad mzuri ukipiga vibaya utaua misuli mashine itashindwa kusimama siku zijazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.