Singida hawezi kushinda mechi zote atakazocheza na Simba, unajua Simba watu wanaiona kama timu ya kawaida.
Singida atapigwa vizuri, siyo chini ya goli 3
Tunakoelekea silent ocean atakuja kubaki peke yake, hizi kampuni zingine bure kabisa bora gharama kuliko hizi hasara wanazosababishia watu aisee, toka July????? Hapana aisee
Nashukuru kwa ushauri hawa jamaa wa mapembelo siwezi rudia wala sishauri mtu mwingine ajaribu. Wako hovyo sana na hakuna sehemu inayoboa kama customer care
Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo.
Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.