Recent content by 4x4

  1. 4

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Nikikumbuka maneno ya mkuu wa nchi wakati wa kampeni aliyoyarudia mara kwa mara kuwa, 'Watanzania sitawaangusha' na nikilinganisha na maneno yake ya leo,'msinipangie maana mimi ndio Rais', nashindwa kumuelewa kabisa. Hajui katiba na wananchi wake wanataka nini. HIvi Bashite na Mkuu wanakitu gani...
  2. 4

    Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii kufanyia kazi ripoti ya tume ya Waziri Nape

    INASIKITISHA SANA MKUU WA MKOA ANASHINDWA KUANDIKA NAMNA HII, ANASHINDWA KUTOFAUTISHA SERIKALI NA SEREKALI NA HAWEZI KUWEKA HATA ALAMA ZA UANDISHI! HII INATHIBITISHA ALIVYO KICHWANI. HAKIKA TUNA SAFARI NDEFU!
  3. 4

    Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

    Uzalendo unahitajika sana,si kushabikia kama si Watanzania.Tunatakiwa tupiganie kwa upande wetu
  4. 4

    Ruvuma: Gari namba T 394 BJL aina ya Noah imeibiwa

    Wadau, Heri ya Mwaka Mpya! Gari namba T 394 BJL aina ya NOAH imeibiwa mkoani Ruvuma. Kwa yeyeote atakaye iona apige simu namba 0786 792 178 au 0767 363 634
  5. 4

    Kukamatwa kwa Bernad wa Airport: Wachina na foreigners wote wakaguliwe vibali vyao

    Zipompa; Nilisikiliza kwenye vyombo vya habari,huyo ni afisa usalama wa airport kwa maana ya wale wakaguzi ambao wako chini ya TAA, na si wale ambao wanavaa suti nyeusi. ila kimsingi nakubaliana na ww vyovyote awavyo hatakiwi kuhatarisha usalama
  6. 4

    Magufuli na kisa cha mfalume

    Mfalume ni nani? Mfalume=mfalme
  7. 4

    Bodi ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD) yawarudisha kazini Wakurugenzi 3 kati ya 4 waliosimamishwa

    HAKIKA KABISA.# MAMBO YOTE YAMEJIELEZA, BADALA YA KUSOMA WANAULIZA NI NANI AMEKUTWA NA HATIA! KIMSINGI WAZIRI AMEFANYA KAZI NZURI, MAANA HATA HUYO MMOJA BILA KUFANYA UCHUNGUZI ASINGEPATIKANA NA WALA MABORESHO YASINGEFANYWA
  8. 4

    Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Phd noma! big up
  9. 4

    Vijana wa Cuf twasikitika

    LAWAMA KWA VIONGOZI WETU Tumepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kuugua ghafla kwa kiongozi wetu mpendwa Maalim Seif. Wana CUF wote twamuombea dua apone haraka..Amin. Pamoja na taarifa hizo na dua zetu kwake...Bado tuna malalamiko ya kutoridhishwa na tabia...
  10. 4

    Kikwete: Zama za kuamini kuwa CCM ikipitisha mgombea huyo ndio anakuwa Rais zimepitwa na wakati

    Lizaboni, mbona unaonekana kama bingwa wa kutunga stori za kufirika!
  11. 4

    Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Kweli hakuna umuhimu wa afande Sele kumjadili.Inaweza ukaja uzi hapa `Wema Sepetu ajiunga na ACT` nao ukaanza kuchangiwa kana kwamba ana madhara.
  12. 4

    Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Mimi nashangaa kabisa,kuna watu ambao ni great thinkers humu ndani nao wanapoteza muda kumjadili afande Sele!.Hebu tujiulize madhara ya afande Sele kuingia huko ni nini,kama si zaidi ya faida kutoka humo. Usipoteze muda mtu na akili yako kumjadili huyo,atajadiliwa na bongo movies na bongo flava...
  13. 4

    Jerry Muro kugombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Kazi ya mbunge ni nini ----- wee. yy anaratibu na kusimamia shughuli za maendeleo jimboni kwake.je waziri wa maji ana maji,atawakumbuka wangapi?akili matope kweli ww,usichangie hapa nenda kwa shigongo
Back
Top Bottom