Recent content by 4REAL

  1. 4REAL

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    atumie dawa inaitwa gynozol za Egypt. Inakuwa vidonge 3 anatumia kwa siku 3 kila siku anaingiza kimoja wakati wa kulala(atapewa maelekezo na muuza). na akishamaliza dozi azingatie mambo yafuatayo, chupi zake awe anaanika nje kwenye jua asivae chupi iloanikwa ndani, baadhi ya condoms pia...
  2. 4REAL

    Hivi kwanini wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali?

    mimi napenda ugali Zaidi kuliko chakula kingine . tena ugali wa dona na samaki na mrenda.
  3. 4REAL

    Nakumatt Supermarket kutuuzia mifuko yenye nembo zao waache

    Huo mfuko utakaoendanao utakuwa umeutoa wapi kama sio kununua.
  4. 4REAL

    Mwezi umeonekana Saudia

    Baraza la mahakama kuu!?
  5. 4REAL

    SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Wapo wa 3. Tena mmoja wapo ni mama nyoni yupo mikocheni baraka plaza. Na sisi tuna mtumia huyo mama nyoni. Na nilishaenda kwa TB Joshua na kurudi kupitia huyo mama nyoni.
  6. 4REAL

    Toyota Opa for sale

    Price: ml 7.5 Cc1890 km.88,000 Year:2003 Colour: Silver Automatic Registration:T...BHG Insurance:Comprehensive Condition:good
  7. 4REAL

    namba hii ya ajabu,nani anaijua.

    Matangazo tu hayo. Akipokea atasikia matangazo ya mtandao anaotumia.
  8. 4REAL

    Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Usingizi umekata kabisa sababu ya huu upepo. Maana makazi ni karibu na bahari. Nilidhani catarina.
  9. 4REAL

    Chief Kiumbe: Prado mpya Diamond aliyopiga nayo picha ni yangu si yeke

    Cjaelewa somo kabisa hapa. Mara diamond sio lake., mara wasanii wafuate nyayo za diamond.
  10. 4REAL

    Kujamiana kipindi cha hedhi kwa mwanamke!

    Madhara kwa mwamaume ni kuwashwa au kuota shipa. Kwa mwanamke hamna madhara
  11. 4REAL

    Sista duu/blaza men simu ya 1M umepanga nyumba ya una zam ya kudeki choo na unapikia mkaa

    Sasa hiyo milioni moja ndo itajenga nyumba. Halafu site nitaendaje na viwanja vyenyewe vinapatikana mbali ya mji. Naanza na gari kwanza inirahisishie shughuri zangu za kutafuta pesa. Kwanza maisha yenyewe mafupi nizichange mpaka nyumba iishe kabla sijahamia tu chali. Ndugu wanaanza kugombea huku...
  12. 4REAL

    Je! Umewahi kukutana na Gari zenye Namba Mpya lakini ni chakavu kuliko yako ulonayo?

    Hata SBT wako vizuri sana. Magari yao ni mapya na yana ubora. Mi nilinunua gari 2010 mpaka leo utafikiri imetoka juzi bandarini. Na kilomita hata laki hazijafika. Pata picha nilinunua gari ikiwa na km ngapi
  13. 4REAL

    Msaada: Simu yangu samsung s3 haifungui jamiiforums

    Nenda kwa wakala wa samsung popote watakutatulia tatizo lako. Mimi nilienda mlimani city wamenisaidia.
  14. 4REAL

    Msaada: Simu yangu samsung s3 haifungui jamiiforums

    Nimejaribu ku update inaleta error: Failed to update firmware due to network or server problem. try later o try using PC Kies. Na nina mb 1700
Back
Top Bottom