Recent content by 4 PRINCE

  1. 4

    Nani ana msisimko zaidi?

    Du,hapo kweli tuwaachie wazoefu.
  2. 4

    Ukiwinda Mwanamke muda mrefu mara nyingi huishia kuwa Disappointed

    Du! kazi kweli kweli,wanyakyusa wanasema mbombo ngafu.
  3. 4

    umeshawahi sikia hii

    Imani tu hiyo,wengi huwa wanasema hivyo,hata wanaume pia wanahusishwa na tuhuma hizo.ni vizuri kumwamini MUNGU ktk kila jambo.
  4. 4

    CCTV chumba cha housegirl

    Hana imani na mumewe huyo,maana mijanaume mingine haina haya wala haijui vibaya.
  5. 4

    Unapovizia kufumania na kuua basi jua imekula kwako!

    Hata ukifumania huna haja ya kuua,maisha bado yatazidi kuendelea tu.
  6. 4

    Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

    Aachane na huyo mwanaume wa pembeni na arudishe penzi kwa mumewe.ni ngumu lakini inabidi iwe hivyo ili kuendeleza ndoa yake halali.
  7. 4

    To Marry a Divorcee?

    Kwani talaka ni ulemavu jamani?
  8. 4

    Ulitumaini uzuri wako

    good message!
  9. 4

    !!!!!!!Mapenzi!!!!!!!

    Mapenzi hayatakiwi kuendekezwa.kazi kweli kweli.
  10. 4

    Msaada Pls nahisi kuchanganyikiwa

    Fuata moyo wako.
  11. 4

    Mtenda Akijitenda...!

    Haya mambo yapo kabisa,kuna watu ni wachoyo na roho mbaya sana,sasa huyo mwanamke,roho yake mbaya ilikula kwake.somo hilo.
  12. 4

    Hana imani na mimi.

    Unataka kuaminiwa wakati huaminiki?unafurahisha sana.
  13. 4

    Ni haki kupenda!?

    Hana haki ya kuwa na mpenzi nje.Maadam aliamua kuingia kwenye ndoa na huyo mtu.ampende au asimpende.
Back
Top Bottom