Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
NZENZU karibu sana,ila ndo hivo tegemea yote humu mmu machungu na matamu.Ushauri wa bure: usiji expose sana humu kama vile kueleza mambo yako binafsi bila sababu za msingi unless uwe unatafuta ushauri. Ukikwazwa badala ya kuhamaki jaribu kuwa PM wakongwe kama kina AD,Husniyo,Mwanajamiione,AshaD,Lizzy,Merrrytina ,Rose1980 na wengineo watakusaidia namna ya ku handle situations.