Miaka miwili ni michache mno, pamoja na michango mizuri iliyotolewa na baadhi ya wadau, hasa kufuatilia sababu za kitabibu, nashauri u-concentrate na mambo mengine, usiwaze hicho tuuuu, kwanza huta-enjoy tendo (msingi wa ndoa) na pili viambata vya uzazi vitasinyaa sababu ya msongo (tension)...
Sio kila kitu kinahitaji kujiuliza jamani, na issue sio kushindwa au kutoshindwa kuwatibu hapa nchini. Cha msingi ni kukiri Neema ya Mungu juu ya hawa watoto, kwanza kupona kwenye ajali mbaya mno na pili kubahatika kupata wasamaria wa kujitolea kuwahudumia kwa wakati na kwa viwango vya juu...
Naungana na ushauri wako (ingawa si katika vipengele vyote) kwa mantiki ya kuamsha ari ya wananchi kupenda na kuitazama TV ya Taifa. Menejimenti inapaswa kusoma/kufahamu na kuzingatia mahitaji ya washika dau wao, na kuweka mikakati ya kufikia mahitaji yao kwa kuzingatia vipaumbele vya kila kundi...
Wanawake wa kipare ni nouma, si hata yule mpare mke wa Mbereselo wa Ngorika kaachika, sasa kakamata kichwa kingine anakinyolea huko Singida, kichwa kimeacha mke na watoto wawili, ni sheeder chezea mmea wa Rundugai
Uko sahihi, suala hapo ni ADA jamani KARO, jamani SCHOOL FEES!! Hao baba na mama wote kuna nyakati wanajipa raha zao kivyao. Raha ya watoto ni SHULE waweke use... wao pembeni watoto wasome. Wewe baba weka ADA/KARO/SCHOOL FEES kwenye account ya shule. Wewe mama kanda maandazi uza wanao wapate mlo...
Tena wako wengi sana hata aibu hawana, mwanaume mzima unajisifu wewe ni baba halafu hata hujui wanasomaje?? wanakula nini?? wanavaa nini?? Na bado wanazalisha wengine!! Na una kazi nzuri, anakalia misifa tu. Balaa duniani
Itafika wakati waorodheshwe hakuna namna, ili wanaoendelea kuzaa wajue...
Hapana! Inaonyesha kweli umekwazika lakini maamuzi ya kumuhusisha mzazi si sahihi, awe hai au asiwe hai, haipendezi na haileti tija yoyote. Ni mtazamo.
Kwani walienda kufanya nini huko Morogoro kwa pamoja? Na weekend hii itakuwa tu mapombe na ushabiki wa ujana bila maono vimechangia pia. Wapumzike kwa amani, kila kifo kina sababu lakini vya ghafla namna hii vitufunze utayari.
Kwanini subject iwe KUBADILI??? Na sio KUONGEZA au KUTUMIA?? kwa walioolewa wakiwa USED mpaka na kodi za uchakavu ndio wanaona gharama kubadili majina! Wengine hawabadili maana hawajawa contaminated wako fresh wanaongeza tu, wengine wanatumia tu hawajaajiriwa popote na wengine wanabadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.