Recent content by 3squere

  1. 3squere

    Tetesi: UTATA: PICHA MBAYA ZA DONALD TRUMP

    Video ilivuja ilikuwa anaongea kwa kuwakejeli wanawake wapizani wake wakatengeneza video kabisa ya sura na MTU anaye fanana naye.
  2. 3squere

    Tetesi: UTATA: PICHA MBAYA ZA DONALD TRUMP

    Hapo zote ni propaganda za uchaguzi?
  3. 3squere

    Magufuli vunja jengo la TANESCO

    Wakati ni sasa[emoji12]
  4. 3squere

    Uwezo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza

    Lakini sijaona kama anatumia madaraka yake kibabe
  5. 3squere

    Uwezo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza

    Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth wa Uingereza... 1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni 2. Husafiri bila passport nje ya nchi 3. Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully 4. Ana mtunga mashairi wake maalumu. 5. Ana ATM...
  6. 3squere

    Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

    Jana nimetoka kutafuta sukari uku kwetu kigamboni niliipata lakini baada ya kuzunguka maduka zaidi ya 20 na kwa Bei ya 2800 Tsh.. naomba tushirikishane kwenu ni shilingi ngapi?......
  7. 3squere

    Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Mkuu jibu hoja siyo kioja
  8. 3squere

    Mshahara wa Rais haupunguziki kisheria

    ndiyo maana yake
  9. 3squere

    Mshahara wa Rais haupunguziki kisheria

    Kuna jambo moja watu wengi tunakosea tunapenda ushabiki wa mambo ambayo hayana ualisia kwa mfano Rais alitangaza kushusha mshahara wake mpaka ML9. Tulishangilia laikini cha kushangaza katiba ya JMT imeka wazi........... "Masharti ya kazi ya Rais Sheria ya 1984 Na.15 ib.9. 4. (2) Mshahara na...
  10. 3squere

    Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Lowassa Atosha
  11. 3squere

    Sumaye aipasua Ukawa. Awananga Mbowe, Lissu, Mbatia, Safari

    https://www.youtube.com/watch?v=aIzeUentsi8
  12. 3squere

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    JUMUIKO la vyama vinavyounda muungano wa kutetea katiba ya Wananchi (UKAWA), linatarajiwa kumtangaza mgombea wake urais jioni hii, jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka ndani ya umoja huo zinasema, mgombea urais wa UKAWA aweza kupatikana leo, baada ya mashauriano ya kina yaliyofanyika baina ya...
  13. 3squere

    Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Time will tell bora LOWASA kuliko maguvuli silent killer.
Back
Top Bottom