Recent content by 3rdman

  1. 3rdman

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Children are blessing and I love children.
  2. 3rdman

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    TAI DUME I believe this opportunity could be more beneficial for you. Please consider applying for it.
  3. 3rdman

    Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Nahisi Tatizo ni lako, Tafuta namna ya kuwa bize, yaani mpe nafasi ya kukumiss, Pia Usitegemeze furaha yako kwake Find something that you love and dive into it, Just be happy and not like stressed mda wote. Kuwa kama mwanamke anaeweza kutamanisha as before. Tatizo wanawake mkiolewa mnaacha...
  4. 3rdman

    Ushauri: Mke kakiri anachepuka. Nawaza adhabu ya kumpa ili iwe fundisho kwa wengine

    Kuweka mbali mke hilo ndio shida tena kikazi yaani anapata mpunga, mawasiliano mabovu na unasusa [emoji38][emoji38][emoji38] Sema uwe Mwanaume asee, Ni either umwache Kiume au uvumilie kuliwa as Nice guys do
  5. 3rdman

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    We jamaa una good stuff Lakini [emoji848][emoji848][emoji848]
  6. 3rdman

    Mke kamkimbia jamaa yangu

    Aachane kwanza Jamaa asioneshe kutetereka kabisa Kwa kifupi awe kama vile alivokuwa na mwanzo asioneshe kuwa bila huyo dem hawezi kuishi Akifanya hivoo tuu kwa mda hata miezi miwili Ataamua mwenyew amrudishe, asioe au aoe mwingine Maana hajatoa taraka Badoo
  7. 3rdman

    Kwa milioni 4 ninunue gari gani lililotumika?

    Hizi ni ndoto nyingi za masikini Unanunua gari ili uwe unawahi kazi za bosi wako. Badala ya kuinvest
  8. 3rdman

    Je, mshahara wa mke huhusika kwenye matumizi mbalimbali ndani ya nyumba?

    Labda uelewa wa mkeo tu ndo utakufanya ujue kuwa anahitaji matunzo zaidi ya pesa yake au anakufanya ufurahi kuwa nae na mnapanga pamoja yaan wote mnaweka mezan
Back
Top Bottom