Recent content by 2v2

  1. 2v2

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

    Kwanini
  2. 2v2

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

    Kwanini
  3. 2v2

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

    Naombeni ushauri kidogo 2028 nahitaji kufungua bar or glocary sijajua mtaji wake gharama zikoje pia changamoto vitu gani vya msingi viwepo
  4. 2v2

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Sisi Wanaume tunapitia mengi, ingawa mwamba alichepuka kwanza nadhani shida ilianzia hapo
  5. 2v2

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kitovu cha mtoto mchanga wa kiume kikiangukia kwenye uume wake, mtoto huyo hatoweza kuzaa au kumpa mwanamke mimba?

    Ningependa kuuliza swali hivi unakuta mtoto akikua wengine wanakuwa na kitovu kimevimba na wengine kimeingia ndani shida inakuwa kwenye ukaukaji au
  6. 2v2

    JamiiForums Tanzania Visa vya Wajawazito kwa waume zao

    Dom moja hiyoooo
  7. 2v2

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Kwa ushauri wa haraka usijaribu, ila kaa muongee na muwekani wazi ili mjue hatima ya maisha yenu
  8. 2v2

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    👤🎶🎵🎧 kaa la moto 🍯 chungu
  9. 2v2

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    🎧🎵🎶 asali chungu kaa la moto
  10. 2v2

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    We acha tu hapa hadi kichwa kinauma leo nimeshinda nimelala
  11. 2v2

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Usingizi umeenda kwao
  12. 2v2

    JamiiForums Tanzania Kimya kinachouma

    Haupo pekee yako nami nipo katika hali hiyo
  13. 2v2

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuhamia mji mpya

    Karibu kila mji duniani una watu waliokuja kutoka sehemu nyingine. Wengine walihama kutafuta kazi, wengine biashara, elimu, mapenzi, usalama, au mwanzo mpya wa maisha. Lakini swali langu ni hili: Kwa nini watu huhama miji? Je, ni kutafuta fursa zaidi? Je, ni kukimbia changamoto walizokutana...
  14. 2v2

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuhamia mji mpya

    Kuna wakati katika maisha unafika mahali unatambua kuwa ukuaji wako unaweza kuhitaji mazingira mapya. Kuhamia mji mpya si jambo rahisi. Unaacha marafiki uliozoea, maeneo uliyozoea, biashara ulizozoea na wakati mwingine hata sehemu iliyokulea tangu utotoni. Lakini historia imeonyesha kuwa watu...
  15. 2v2

    JamiiForums Tanzania Dizasta ameachia EP mambo ni moto

    Hii Ep ni balaa nimependa walivyo igawa side A na Side B na ubunifu walio tumia ni 🔥🔥🔥🔥
Back
Top Bottom