Mimi ninakipaji cha kuchora, ila sina vifaa.
Na pia uwezo wa kufanya kazi zikawa nzuri na za kuvutia bado ni mdogo, kutokana na kutojishuhulisha mara kwa mara na kazi hii. Nina marafiki zangu wa America na Ulaya ambao wamekuwa wakinishauri mara kwa mara nichore picha kuonyesha vitu mbalimbali...
Haya ni majibizano kati ya mama mmoja na wanae wawili aliowaacha nyumbani baada ya mlo wa mchana.
Ninyi watoto. Nani kadokoa mboga zangu?
Mtoto1.:m cjui
mtoto2.:hata m cjui
mama.:ninyi wapumbav mtanikoma nasema nan kadokoa mboga zangu?Hembu kuja hapa.
mtoto1.:Jamani mama m cjui mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.