Recent content by 2Laws

  1. 2Laws

    SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Naweza sema tunafanana maono, Tanzania hatuandai watoto kuja kutawala na kumiliki, hatuwaandai kufanya mambo makubwa, tunajitagmhidi tu watakapokua wawe na uhakika wa kuka tuu, ndio maana utasikia soma sayansi ina ajira nyingi, malezi hayachochei ubunifu kabisa. Pitia na kwangu rafiki...
  2. 2Laws

    SoC03 Siku moja nitamwambia Rais...

    Unafaa kuwa mwandishi,
  3. 2Laws

    SoC03 Tazama ramani utaona nchi nzuri

    Maendeleo hayaji yenyewe, yanatafutwa, na hayakawii pale palipo na bidii na ufahamu. Nitafurahi kama utakubaliana nami
  4. 2Laws

    SoC03 Tazama ramani utaona nchi nzuri

    "Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..." Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...
  5. 2Laws

    Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

    Kwakweli hadi naona aibu wakati sio mimi, Nakumbuka Marehem Malkia Elizabeth akizikwa tulionyeshwa benchi lake pendwa analokaa kansani hakupeleka kiti cha ufalme kanisani
  6. 2Laws

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    Your right I give you that and its because we have been growing in a society that undermines our own race and character we do not trust what a Blackman can do and that has torn us apart, if someone black dares to show challenge and real wisdom we cut em down we oppose em we fight for them to be...
  7. 2Laws

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    Ndicho ninachomaanisha na ndio maana ya hilo andiko kwahio ilikua n lugha ya kishairi au kisanaa na Mwandishi wa kitabu hicho alikusudia kusema kuwa kamwe hekima na maarifa ya MUngu hatuwezi kuyafikia, hayadarirkiki, ni ya juu sana. Naweza kukupa mifano kama utahitaji
  8. 2Laws

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    I always find myself sorry for whoever underestimate Blackman everyone thinks to be better than the other and you know what that's actually the meaning of stupidity. wrong Quotation again from Xin Jinping
  9. 2Laws

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    no offence but Biblia sio gazeti eti kwa kuwa unajua kusoma ndio basi, unahitaji hekima utulivu wa akili na moyo na sana mwongozo wa Roho ndio maana ya sala kabla ya kusoma wala sio hamu ya kutafuta kosa. Kuna wasomi wa maandiko wamepitia tafsiri mbali mbali za maandiko na nakala zilizoandikwa...
  10. 2Laws

    Wapi tumejisahau tubadilikee?

    Tazama; Tunashuhudia matukio ya kikatili yakiendelea hapa nchini, picha toka mtandaoni ya mwanafunzi aliyechomwa mikono. Tumeshuhudia idadi kubwa ya vijana kupotea ama kufanyiwa ukatili ama kuondolewa baadhi ya viungo vyao sababu ya pesa, Tumeshuhudia kesi za ubakaji na ulawiti wa watoto...
  11. 2Laws

    Umewahi kufikiri kujiajiri hapa bongo na ukakosa jibu la nini ufanye?

    Najaribu tuu kwa uwezo wangu mdogo nione labda kama naweza kuwa chachu, asante sana pia unaweza pitia SoC 2022 - Kwanini Wanaume wanaongoza kwa kujiua?
  12. 2Laws

    Umewahi kufikiri kujiajiri hapa bongo na ukakosa jibu la nini ufanye?

    natumaini kuwa haitakuwa sababu ya kutojaribu lakini Mr Mac
  13. 2Laws

    Umewahi kufikiri kujiajiri hapa bongo na ukakosa jibu la nini ufanye?

    Naelewa ni kweli lakin wacha tu waseme ni muhimu pia kwani itasaidia kujua changamoto ili tujipange namna ya kukabiliananazo mapema. Naamin hiv vitu ambavo yunafaa kufikiria sana kuanza ni vile ambavyo bado akuna aliyefanya akafanikiwa kwasababu hatuvijui sawasawa lakin hv vyote kuna watu...
Back
Top Bottom