Recent content by 2hery

  1. 2hery

    JamiiForums Tanzania Je, bodaboda wapo juu ya sheria za usalama barabarani?

    Kwa uendeshaji huu lazima hatua zichukuliwe kudhibiti hili. Wenye mamlaka wanalichekea kwa kigezo cha wapiga kura ila ni hatari kwa usalama wa taifa na maendeleo ya nchi huko mbeleni
  2. 2hery

    JamiiForums Tanzania Mkague mgeni wako kabla hajaingia ndani

    Kuna mama mmoja alikua kila akija home kusalimia anapitiliza moja kwa moja chooni. Hii ilikuwa sio tabia ya kawaida. Na akiondoka tu home lazima mtu aumwe au fedha zitume kwa jambo lisilokuwa na mwanzo . Kuna siku moja amelala na watoto wa kike chumbani akaanza kuzunguka kitanda usiku huku yuko...
  3. 2hery

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

    Bei ya maharage itaimbwa kwa siku kadhaa zijazo.
  4. 2hery

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Wangesogea kule Makete kwa Mwakipande au kwa Meseketwa kupata utajiri.. Wao wameishia Njombe tu .
  5. 2hery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Sasa wale wahuni wa ile kamati ya amani muheza wapo chini ya nani?
  6. 2hery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Unamwombea afanyaje? Maana kuna yale maombi ya urejesho
  7. 2hery

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

    Na Leo Padri Privatus Karugendo kafariki
  8. 2hery

    JamiiForums Tanzania Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    Huyu Refa kawanyima hawa vibonde Wydad goli la wazi aisee
  9. 2hery

    JamiiForums Tanzania Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    Mna uhakika hawa ni Wydad? Hawa wakikutana na Simba anapiga 3
  10. 2hery

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Azam anashangaza sana! Anahisi ushindi wa Azam kuna mkono wa Simba!

    Wangecheza Ramadhan Cuo kama wanataka wasilazimishwe.. Mpira ni mchezo wa wazi, Haiwezekani uwekezaji wote ule halafu timu iwe inafanya inavyojisikia.
  11. 2hery

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Tulisha sema humu ukiona mke anachepuka na ukang'ang'aniakuwa nae.. Utaishia jela au mmoja wapo atapoteza maisha.
  12. 2hery

    JamiiForums Tanzania Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

    Mkude anapoteza mipira kwa kupiga vipasi vya ajabu.. Hakai kwenye eneo lake.
  13. 2hery

    JamiiForums Tanzania Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

    Chama hakina mwenyekiti Chama hakina Katibu mkuu
  14. 2hery

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Huko kwenye mbio za mwenge nako kuna maagano yasiyokifani.. Ile kuzisitisha mwaka jana lilikuwa kosa la kiufundi
  15. 2hery

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Kosa la kwanza lilikuwa kuhama ikulu ya Dar na kwenda Dodoma, Kumbuka yaliyomkuta mwendazake kule Lindi kipindi tu ndio kasema kahamia Dodoma Kosa la pili ni kuapishwa Dodoma badala ya DSM.. Kuna mafungamano makuuu ikulu ya DSM na uwanja wa Uhuru na urais kwa kiongozi aliye madarakani.
Back
Top Bottom