Recent content by 2day

  1. 2day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

    Ulimpata wakati gani? Ni mkubwa kuliko wanao?
  2. 2day

    JamiiForums Tanzania Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Hapo mwishoni ndio umeharibu
  3. 2day

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

    Lile ni kanisan lake lina kkkt ni usharika sio mtu binafsi
  4. 2day

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi watengeza ugoro huwa wanachanganya nini mpaka unakuwa mkali sana?

    Hiyo zambia bora upatikane na bangi kuliko ugoro
  5. 2day

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mzazi anasomesha mtoto wake wa kike Dodoma Media College (DMC) basi ajiandae kisaikolojia

    Hili jambo ni ukweli usiopingika mwanzo waliwekwa nyumba moja nkuhungu karibu na kkkt wamechanganyika wavulana na wasichana . wazazi tufuatilie tunapoambiwa wanakaa hosteli fika ujiridhishe hapa tutaleta na picha km mkiendelea kubisha
  6. 2day

    JamiiForums Tanzania Siyo kila mzazi anayeachiwa malezi ya mtoto peke yake katelekezewa makusudi, hapana

    Huyo mtoto anababa zaidi ya mmoja inawezekana baba aliyekaribu ndio amechukua jukumu lake rasmi
  7. 2day

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Wamalawi walianza kuingia nchini siku nyingi km wafanyakazi wa ndani wa majumba ya viongozi wakubwa baada kupeleka watoto wao shule za kingereza wakirudi nyumbani housegilr hawezi kingereza hapo ndipo walipo pata soko walikuwa wanalipwa mpaka 250,k kwa mwezi
  8. 2day

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Watanzania tuamke huu ujinga utatumaliza ukipata nafasi ya kuwaelimisha watu wape elimu
  9. 2day

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo jamii huona ni uhuni lakini yana faida kubwa kwa Afya zetu

    Hivi gharama za massage ni kiasi gani?
  10. 2day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Siku nyingine unaoga maji baridi ukimaliza jikun'gute km mbwa usitabilike
  11. 2day

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua kali kwa wafanyabiashara wanaoficha mafuta

    Umeshawahi kujiuliza kazi ya EWURA
  12. 2day

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua kali kwa wafanyabiashara wanaoficha mafuta

    Mama yupo hoi nchi imemshinda
Back
Top Bottom