Recent content by 20Bro

  1. 20Bro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunahitaji furaha bila karaha

    Hello wanajamvi. Ukweli tumefanya mistake nyingi ktk maisha, hasa ktk mahusiano. Tukifanya machaguzi mabaya, kukosea kwa mitazamo n.k Je, Tuishi kwa majuto na huzuni baada ya kuharibu mifumo na kujikuta tupo wapweke? Nahitaji mtu wa kupeana naye furaha, muite Sex partners ,bed mate vyovyote...
  2. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Medical engineering.

    Biomedical Engineering ni field inayohusu kuunganisha Engineering skills kutatua mambo ya kiafya. Ni field pana kidogo ina deal na vitu vingi, but bongo naona wana base ktk ishu equipments ,but humo ktk biomedical kuna tissue engineering , biomechanics etc. Kozi hii hutolewa ktk vyuo...
  3. 20Bro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu yangu kaoa Barmaid, tunaona aibu hata mitaani

    Hasa analiwa nje na still unasema anamheshimu mumewe [emoji16][emoji16]
  4. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Kwa hawa Madaktari huko mbeleni tutapata tabu

    Uongo huuuu
  5. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Karim Mandonga ndio "Mike Tyson" wa ngumi za Tanzania kwa sasa

    haha, Mkuu naona utabiri wako ulitimia.
  6. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Kwanini umaarufu wa Januari Makamba unashuka siku hadi siku amekosea wapi?

    He was overrated. Muda huu watu wanacha story za kusikia wanajionea wenyewe
  7. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Tunauza mwani/sea moss

    kuna tofaut gani kati ya seamoss iliyo Ktk unga na hiyo raw?
  8. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma kucheka au kulia

    Jifunze upya hesabu [emoji16]
  9. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    yes,
  10. 20Bro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi Baba Mkwe wangu

    hahahah We broo ni hatari sana
  11. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Nahitaji setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked

    Njoo nkupe for free kabisa ndugu. Njoo Pm na adress yako ,au number ya simu.
  12. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

    honestly nilitaka jua kama watu wana interest n naweza meet a mentor humu ambaye ni Pro kunidhid. Nna Electronics kichwani, nina telecommunication kichwani etc nilianza piga C language,nikaanza furahia urahis wa Python, so nalitaka kwenda pro zaidi. By the way uki integrate AI, na embedded...
  13. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

    Nna vitabu vingi sanaaaa na Course za Videos ambazo haziko YouTube kuna rafiki ktk kushare cost nnazo full yaani imeelezwa in n out Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  14. 20Bro

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

    ni vitu vidogo sanaa, hivo mkuu ukiwa unajua math unapiga hizo codes vyema kabisa na nimeshapiga ndefu sana humo Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom