Recent content by 2025

  1. 2025

    JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Chomaa tuu,maana itakupunguzia maumivuu
  2. 2025

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Saaafiiiii.....Tuzidi kuimba Tenzi za Rohoni Bwana Yuu nasi.
  3. 2025

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana (A GRAVE MISTAKE) kwa CCM kutofungia kampeni Dar

    Ila mkuu huu mkakakati wa Ccm kufanya mikutano yao mikoa saba sioni kama kutakua na impact kubwa kutokana na chama kuchokwaaaaa....mfano Mbeya.
  4. 2025

    JamiiForums Tanzania Naungana na act-rasmi

    Nenda tuu hata TLP.wapo pouwa sana na sera zao zinaelewekaa
  5. 2025

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Waichukie mara mbiliiii????
  6. 2025

    JamiiForums Tanzania Vijana wasema kuwa wanakula fedha ya Lowassa lakini kura kwa Magufuli

    Wewe ndo umesemaaa....tena unaongea lugha ya picha....#silisabangoo....nina miaka 26.
  7. 2025

    JamiiForums Tanzania Kura yetu ni kwa Dkt John Pombe Magufuli

    Wewe na nani.....?????mxeuuuu
  8. 2025

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Kila anaendoka Ccm anaitwa Fisadi et.....Ila kwa Kingunge hawezi fananishwa na MAVUVUZELA wa juz juzi,wasiojua maadili,waropokaji,na watukanaji.....heshima kwako Mzee kingunge kwa kutokua mnafiki.
  9. 2025

    JamiiForums Tanzania Nawe ni mtumiaji wa neno LOL? Soma hapa

    Lots of Love
  10. 2025

    JamiiForums Tanzania Lowassa atapata zaidi ya kura milioni 15

    Kati ya Mafisiemu na vyama vingine ni nani anaigizaaaa.....tupo makini na tunafuatilia mikutano ya MafiCCM,hawana jipya na this time wanaanguka vibaya mbaya....
  11. 2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na UKAWA wameshikwa pabaya. Sasa wanataka kutumia mbinu chafu kuhujumu TEHAMA ya NEC

    Amani ikawe wewe na nyumba yakoo.....
  12. 2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi washituka kuhusu uadilifu na uchapakazi wa lowasa.

    Umetumwaa wewee.....tumekusikia tayr
  13. 2025

    JamiiForums Tanzania ITV na mbinu za kuisaidia CCM

    Kweli kabisa,Ccm wana wakati mgumu.
  14. 2025

    JamiiForums Tanzania Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

    Uliwekaa huu uzi umelipwaa shilingi ngap....ninaishi Ubungo,huu uongo wako kawadanganye watu wa mikoani.....
  15. 2025

    JamiiForums Tanzania Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    Lowassa ni mfano toshaa wa kutokata tamaa katika ndoto zako,hata kama ulimwengu utakupingaa.
Back
Top Bottom