Lowassa atapata zaidi ya kura milioni 15

namfua masakia

Senior Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
178
Reaction score
150
Kama idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kote nchini ni zaidi ya milioni 23, basi hakuna hata chembe ya shaka kuwa EL atapata ushindi mkubwa 25/10/2015. nimejaribu kufuatilia mwamko na hamasa waliyonayo watanzania na hitaji kubwa la MABADILIKO nimegundua JPM anakwenda kubwagwa vibaya hata yeye mwenyewe anajua. mikutano ya kampeni ya ccm imejaa ujinga mwingi wa matusi,kuchezesha wasanii na kusahau kunadi sera jambo ambalo linazidi kumpaisha Lowassa. kwa muda ambao ccm imekuwa madarakani haikutakiwa kujinadi kwa kutoa ahadi mpya bali kwa mafanikio waliyoyatekeleza. PIGA KURA, LINDA KURA - LOWASSA RAIS....
 
mama ntilie,bodaboda na nyumbu wengine hawazidi milioni 4
 
endelea kuota ndoto za mchana tu, ushindi hauji kwa maigizo

Kati ya Mafisiemu na vyama vingine ni nani anaigizaaaa.....tupo makini na tunafuatilia mikutano ya MafiCCM,hawana jipya na this time wanaanguka vibaya mbaya....
 
waliojiandikisha ni 23.93m na watakao piga kura sijui kama watafikia 15m kwa kuwa wengi walienda kuchukua kitambulisho tuuuu na sio kupiga kura jipeni moyo sasa
 
Mfano mzuri 2010 waliojiandikisha walikuwa milioni 21. Waliopiga kura milioni 8:6 sasa tizama gepu ilivyokuwa kubwa na chadema ya Dr slaa ilikuwa moto kwa hivyo Mwaka huu kama itaongezeka idadi ya wapiga kura labda basi milini 10 au 12 milioni hapo ACT Anakula vichwa milioni 150, ADC laki 5, chauma laki 1, CCM milioni 7.5 zilizobaki ni Ukawa .
 
mama ntilie,bodaboda na nyumbu wengine hawazidi milioni 4

Sababu hilo ndo linawapa kiburi!! Ahsante kwa kuwaitwa binadam wenzio Nyumbu..
 
Attachments

  • 1443938949823.jpg
    1443938949823.jpg
    18.7 KB · Views: 349
Mfano mzuri 2010 waliojiandikisha walikuwa milioni 21. Waliopiga kura milioni 8:6 sasa tizama gepu ilivyokuwa kubwa na chadema ya Dr slaa ilikuwa moto kwa hivyo Mwaka huu kama itaongezeka idadi ya wapiga kura labda basi milini 10 au 12 milioni hapo ACT Anakula vichwa milioni 150, ADC laki 5, chauma laki 1, CCM milioni 7.5 zilizobaki ni Ukawa .

Hiyo milioni 150 lbda ACT wangeipata kama uchaguzi ungekuwa nchini China ambako kuna zaidi ya watu bilioni 1 lkn c hii Tz yenye wapiga kura milion 23 minus Mtikila.
 
Kama idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kote nchini ni zaidi ya milioni 23, basi hakuna hata chembe ya shaka kuwa EL atapata ushindi mkubwa 25/10/2015. nimejaribu kufuatilia mwamko na hamasa waliyonayo watanzania na hitaji kubwa la MABADILIKO nimegundua JPM anakwenda kubwagwa vibaya hata yeye mwenyewe anajua. mikutano ya kampeni ya ccm imejaa ujinga mwingi wa matusi,kuchezesha wasanii na kusahau kunadi sera jambo ambalo linazidi kumpaisha Lowassa. kwa muda ambao ccm imekuwa madarakani haikutakiwa kujinadi kwa kutoa ahadi mpya bali kwa mafanikio waliyoyatekeleza. PIGA KURA, LINDA KURA - LOWASSA RAIS....

Na Magufuli atapata 20 mn....tingatinga rais wetu
 
mama ntilie,bodaboda na nyumbu wengine hawazidi milioni 4

Ongeza CCM maslahi + CCM B + Walimu + Wastaafu + Wafanyakazi waliopigika + Wazee + Wanavyuo + Vijana wasio na ajira + wapenda mabadiliko wote katika ujumla wao = milioni 12 + 4 za kwako weye mburula = milioni 16; upo hapo!!
 
Tunataka kuidhihirishia dunia Tanzania sio ya Magufuli na Tanzania sio ya CCM. Tanzania ni ya watu wote na CCM hakina hati miliki ya kutawala Tanzania.
 
Kati ya Mafisiemu na vyama vingine ni nani anaigizaaaa.....tupo makini na tunafuatilia mikutano ya MafiCCM,hawana jipya na this time wanaanguka vibaya mbaya....
bora ujifurahishe kwa ndoto kwani kama sio utani unafanya matokeo yatakuletea majonzi sana. mizungu ya utabiri wa akina gwajima na wenzake ni ushirikina tu. watanzania oct 25 wanachagua tingatinga magufuli. hapa kazi tu.
 
Kama idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kote nchini ni zaidi ya milioni 23, basi hakuna hata chembe ya shaka kuwa EL atapata ushindi mkubwa 25/10/2015. nimejaribu kufuatilia mwamko na hamasa waliyonayo watanzania na hitaji kubwa la MABADILIKO nimegundua JPM anakwenda kubwagwa vibaya hata yeye mwenyewe anajua. mikutano ya kampeni ya ccm imejaa ujinga mwingi wa matusi,kuchezesha wasanii na kusahau kunadi sera jambo ambalo linazidi kumpaisha Lowassa. kwa muda ambao ccm imekuwa madarakani haikutakiwa kujinadi kwa kutoa ahadi mpya bali kwa mafanikio waliyoyatekeleza. PIGA KURA, LINDA KURA - LOWASSA RAIS....

akili ni nywele kila mtu ana zake!!! CCM & TANU& ASP vimeongoza Tanganyika na Tanzania kwa miaka 53.....LOWASA amekuwa kiongozi katika level mbali mbali kwa miaka 38...... amechangia 71% ya matitizo ya rushwa na kupora mali za taifa..... pole kwa kunywa viloba sana hadi ubongo unakosa weledi wa kupambanua mambo...
 
waliojiandikisha ni 23.93m na watakao piga kura sijui kama watafikia 15m kwa kuwa wengi walienda kuchukua kitambulisho tuuuu na sio kupiga kura jipeni moyo sasa
Kwanini hutaki watu wakapige kura? Unaogopa nini?
 
wapiga kura wengi wa ccm wanatokea vijijini ambako hakuna maji salama wala barabara nzuri....
 
mama ntilie,bodaboda na nyumbu wengine hawazidi milioni 4

HAYA MATUSI NA DHARAU ZENU WANA CCM ZITAWAPONZA. Nyie endeleeni tu,yaani unawaita watanzania wenzako Nyumbu na bado unataka kura zao.
 
Back
Top Bottom