Kura yetu ni kwa Dkt John Pombe Magufuli

Kura yetu ni kwa Dkt John Pombe Magufuli

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12063696_517700015051110_6451522535848790736_n.jpg


Kura yetu ni ya uadilifu, uchapakazi, maendeleo, amani, umoja na mshikamano wa kitaifa. Kura yetu si ya ukanda, vurugu, udini, ufisadi, wala ukabila. Kura yetu ni kwa Dkt John Pombe Magufuli.#UmojaNiUshindi
 
Natizama wa kwanza atachangia nini hapa? Nasubiri......
 
kura ni moja kwa mtu mmoja! yenu wangapi? mimi au sisi?
 
Wewe gamba usipopewa ukuu wa wilaya basi tena maana unavyonadi pombe haramu khaa
 
Hata nami kabisaaaa,tena nitaamka saaa 9 usiku maninaaa,nitakuwa wakanzwa ktk kituo chetu kuanza kupiga kura,ushindi asbh na mapemaaaa
 
Nani kakudanganya, zumbukuku wewe, kura kwa EDWARD NGOYAI LOWASSA trh 25 tunakamilisha tuu kwa kutick vema kwenye kibox no 4
 
Nani kakudanganya, zumbukuku wewe, kura kwa EDWARD NGOYAI LOWASSA trh 25 tunakamilisha tuu kwa kutick vema kwenye kibox no 4
Subiri msiba wako hiyo October 25. Mtalia sana nyie
 
Utakuwa unafuga majini wewe sio bure. Yaani umekuwa mbumbumbu kiasi hujui kuwa unapiga kura moja tu!
 
Back
Top Bottom