Recent content by 1x1

  1. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Kwa Muktadha wa Ubora wa Jiko lenyewe kwa Majiko yetu ni uhakika unatumia unit moja au pungufu ya hapo.
  2. 1x1

    Rais wa M25: Mwanamapinduzi wa Kivuli au Jinamizi la Congo?

    Rais wa M23: Mwanamapinduzi wa Kivuli au Jinamizi la Congo? Katika vilima vya Kivu, ambako mawingu mazito hushuka kila alfajiri, jina moja linasikika kama pepo la usiku—Rais wa M23. Hadithi yake ni kitendawili; shujaa kwa wafuasi wake lakini jinamizi kwa maadui zake. Ni kiongozi wa waasi...
  3. 1x1

    SoC03 Upandaji miti mijini linda mazingira

    Utangulizi: Miji inakua kwa kasi katika nchi nyingi, na Tanzania haijaachwa nyuma. Huku miji ikikua, madhara ya mazingira yanazidi kuongezeka, na hii inahitaji mabadiliko ya haraka. Katika andiko hili, tutachunguza madhara ya mazingira yanayotokana na kukua kwa miji, jinsi upandaji miti...
  4. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Karibu na Mwananyamala hospitali au piga 0718908337 uletewe uliopo Karibu sana
  5. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Ukweli ni kwamba kama unatumia sufuria ambayo siyo ya chuma stainless steel jiko linazima baada ya sekunde chache kwa maana hiyo utakuwa utumii umeme wowote wakati huo.
  6. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    INDUCTION COOKER zinatumia sufuria zenye asili ya chuma (stainless steel) ni masuria tunayotumia majumba mwetu pia siyo watu wote wanaotumia mafuria ya aluminium (ambayo si salama kwa afya yako).
  7. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Plate moja waranti ni mwaka mmoja na plate mbili ni miaka miwili unapewa na waranti kadi. Linatumia masuria yenye asili ya chuma (stainless steel) unaweza kununua popote lakini tunayauza pia. Note sufuria za chuma ndiyo sufuria pendekezwa kiafya
  8. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Plate moja waranti ni mwaka mmoja na plate mbili ni miaka miwili unapewa na waranti kadi. Tumia muda wako kucheki video hapo chini
  9. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Plate moja waranti ni mwaka mmoja na plate mbili ni miaka miwili unapewa na waranti kadi.
  10. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    La plate moja 120,000/- waranti mwaka mmoja Plate Mbili 250,000/= waranti miaka miwili
  11. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama smartphone pia unaweza kuchagua mapishi mbalimbali, kuweka muda wakujizima, kuchemsha maziwa bila...
Back
Top Bottom