Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

Hayo
Hay majiko si yana masufuria yake yasiyopata moto??
Majiko yanapika kwa sufuria za chuma halisi tu ( stainless Steel) sio hizi sufitia zetu za aluminium hatichemki hata uiache jikoni siku nzima.
Ni majilo mazuri consumption ya umeme ni ndogo sana hata upikie mwezi mzima bika kutumia mkaa poa tu
 
View attachment 2809152
Mkuu nimecheki huko AliExpress, jamaa wanadai et ukiwekea umeme wa 110V linalipuka, hivi hapa kwetu ni ngapi asee.
dronedrake Mkuu karibu, hivi haya majiko ukipata hilo sufuria la chuma ni kweli ni alternative ya gas.
Au jamaa wanafanya biashara tu.
Mkuu kwa upande wa matumizi lipo njema yaani ni mbadala wa gesi pata jiko original maana na feki pia yapo ila kuyajua ndo mtihani.
 
kwetu ni 220V, mengi ni smart, yakipata umeme mdogo hayawaki kabisa

Gas cooker iko fasta zaidi ya Induction, kwa gharama sikupata kupiga hesabu
ila nyama ya 1kg, gas cooker yangu(yenye burner iliyo na rings 2 zile za kutolea gesi) inamaliza kila kitu ndani ya dk 25, Induction inakimbilia dk 45-50 huko
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yako.
 
Mkuu kwa upande wa matumizi lipo njema yaani ni mbadala wa gesi pata jiko original maana na feki pia yapo ila kuyajua ndo mtihani.
Hapo ndo mtiti mi naona solution ni kuzama AliExpress mwenye reviews nyingi huyo huyo.
 
Attachments

  • Plate ndogo.jpg
    Plate ndogo.jpg
    48.1 KB · Views: 9
Mkuu wanatuza shilingi ngapi hayo masufuria pamoja na bei za hayo majiko 2023.
Masufuria bei yake inanzia 120,000 mpaka 270,000 kutegemeana na idadi na uzuri wake.
 
Attachments

  • sufuria.jpg
    sufuria.jpg
    64.2 KB · Views: 7
  • Sufuria1.jpg
    Sufuria1.jpg
    73.1 KB · Views: 6
Ni kweli lina ufanisi kuliko jiko la gesi? Ni kweli linaweza kuwa economical kuliko jiko la gesi?
Hakuna jiko la umeme linaweza kuwa na ufanusi kuliko gas au kuwa na matumizi madogo kuliko gas otherwise mtumiaji wa gas awe ana matumizi mabaya, gas ndio moto wa gharama za chini duniani
 
That’s wrong take chief.

Induction cooker is twice more energy-efficient than gas and electric cooker.

Induction cooker can reach 85-90%
Electric cooker 67-75%
Gas 47-50%

Speed:

Induction cooker ina boil maji from 0 to 100 centigrade in seconds.

Gas follows while electric burner is the slowest.

If your kitchen becomes warmer while cooking there’s some energy being lost in the surrounding.

Gas burner transfers heat by flame 🔥 to heat the pot bottom. This way energy is being lost as heat by radiation.

Electric burner heat the top plate, and hence the top plate heats the pot. That’s loads of time and heat loss by both conduction and radiation.

Induction heating process heats the pot bottom directly by transformer action. Heat loss is solely based on induction coil resistance and transistor loses not surroundings. This way it can theoretically hit 100% mark.

However the induction efficiency depends on how it was engineered. If you’ve encountered some cheap AliExpress induction burner operating below 80% efficiency that’s poor engineering. Or they might used cheap copper or aluminum windings, cheap IGBT or MOSFETs.
 
Maelezo murua kabisa.Tatizo wengi wakisikia jiko la umeme wanaogopa bila kujua lina ufanisi mkubwa kwa sababu linapika kwa kutumia nguvu ya usumaku bila kutengeneza joto linalopoteza umeme.
 
That’s wrong take chief.

Induction cooker is twice more energy-efficient than gas and electric cooker.

Induction cooker can reach 85-90%
Electric cooker 67-75%
Gas 47-50%

Speed:

Induction cooker ina boil maji from 0 to 100 centigrade in seconds.

Gas follows while electric burner is the slowest.

If your kitchen becomes warmer while cooking there’s some energy being lost in the surrounding.

Gas burner transfers heat by flame 🔥 to heat the pot bottom. This way energy is being lost as heat by radiation.

Electric burner heat the top plate, and hence the top plate heats the pot. That’s loads of time and heat loss by both conduction and radiation.

Induction heating process heats the pot bottom directly by transformer action. Heat loss is solely based on induction coil resistance and transistor loses not surroundings. This way it can theoretically hit 100% mark.

However the induction efficiency depends on how it was engineered. If you’ve encountered some cheap AliExpress induction burner operating below 80% efficiency that’s poor engineering. Or they might used cheap copper or aluminum windings, cheap IGBT or MOSFETs.
Sasa mkuu, hizo Induction burner nzuri zenye ufanisi mzuri tunazipata wapi.
 
Top brands.

Very little to non top brands would ruin their names by advertising wrong specifications.

Some are,
Samsung, LG, GE, Frigidaire, Bosch, Blackstone, Dufort, newmatic, etc

They are ISO and CE certified.
 
Pamoja mkuu, shukrani.
 
Back
Top Bottom