Recent content by 1beautifull brn feb

  1. 1beautifull brn feb

    Tafakari ya kipanya

    2020 tutarudi on 1900 :):):(:(
  2. 1beautifull brn feb

    Kazi ya uhudumu wa bar

    ha ha ha ha ha ha ha
  3. 1beautifull brn feb

    TANZIA: MwanaJamiiForums mwenzetu amefiwa na mzazi wake

    poleee sanaa ndugu Mathenge kwa kufiliwa na mzazi wako.... innalillah waiinaailah rajuuun....
  4. 1beautifull brn feb

    Ma genius mkuje huku

    jibu ni mkate dogo_________________2000tsh chenchiii____________________8000tsh jirani 10000tsh __10000tsh=_________0 jumla hasara ya elfu 10000 ya dogo mkate + chenchiiiii hasara ni 10000tsh
  5. 1beautifull brn feb

    Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

    ha ha ha ha ha ha ah autakuta motto anakwambia mgeni kum.....yo... mama yake anacheka yaani huyu mtoto anasumbuaa kweli ....natamani hata nimfinye mdomo...
  6. 1beautifull brn feb

    Ushauri: Nachoka kabisa, nikianzisha mahusiano na mwananume mwingine bado nakuwa nae

    na nilikuwa tayari hata kuolewa bila wazazii bt nafikiria je kijana akifa niarudije kwenye familia.. na mze mtu wa kukaza kinoma
  7. 1beautifull brn feb

    Ushauri: Nachoka kabisa, nikianzisha mahusiano na mwananume mwingine bado nakuwa nae

    nina almost 9-10 mnth sijaenda kokote cz kuna kaploject Fulani nakifanya na hata wewe ukiniona huwezi jua km naenda disco..
  8. 1beautifull brn feb

    Ushauri: Nachoka kabisa, nikianzisha mahusiano na mwananume mwingine bado nakuwa nae

    I swear kwamba mara nyingi huwa nampotezea hata mwezi bt akinitafuta tuuu bhasiii sina hata nguvu ya kumpinga tenaa.. naumiaa walllah naumia mwezenuu...
  9. 1beautifull brn feb

    Ushauri: Nachoka kabisa, nikianzisha mahusiano na mwananume mwingine bado nakuwa nae

    sio kula kichwa unavyo dhania... mna pia huwa hakuna hata boi mmoja aliyewahi kugundua km mimi naenda disco wala nn muda mwingi nakuwa home na akija muda wowote ananikuta mbayaa zaidi hata nikiachana nae still watakuwa wananitafuta au hata kuja home kusalimia au kuwa na mawasiliano na mdogo wangu
  10. 1beautifull brn feb

    Ushauri: Nachoka kabisa, nikianzisha mahusiano na mwananume mwingine bado nakuwa nae

    Waungwana mimi ni kijana na ninafanyakazi katika kampuni mmoja hapa Tz ni afisa mwajiri, Tatizo langu ni kwama nikipata boi friend huwa anaamini kwamba mimi nina uwezo hivyo huwa hana msaada wowote na mimi zaidi ya kutaka mara nyingi kwamba mimi nimsaidie, mbaya zaidi huwa hatuafikii lengo la...
  11. 1beautifull brn feb

    Ushauri wenu wakuu nimefikwa

    Ataleta fujo huyoo atasema hataki motto wake alelewe na mama wa kambo
  12. 1beautifull brn feb

    Ushauri wenu wakuu nimefikwa

    mchukue dogo mpeleke kwa mama yako na maid wako kasaidie kwenu huyo anakufanya ATM ;););););):(:(:(:(
  13. 1beautifull brn feb

    Visingizio vya maisha ya watanzania

    ha ha ha hah ha uuuuuiiiiii kweli mkuuu
Back
Top Bottom