Recent content by 1981

  1. 1981

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je wafahamu methali za kichaga 5 kuhusu mwanamke?

    Nkyamana nkyamene nkyamae..... Cha mtoto kikubwa kuzidi cha mama yake......
  2. 1981

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Mtoa hoja, Mimi sijaelewa hapo naomba ufafanuzi, Yani Rais Magufuli alitaka ahongwe bilioni 300 ili apotezee hii issue au kuna watu walitaka kumuhonga yeye akazikataa? Hebu weka vizuri hiki kiswahili ili tuelewe hii hoja. Samahani lakini.
  3. 1981

    JamiiForums Tanzania John Stephen Akhwari; Mtanzania maarufu ulimwenguni kuliko hapa Bongo

    This is a good example to learn.......
  4. 1981

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Watanzania bwana..... Binafsi sikubaliani na yanayoendelea hapa Tanzanian, lakini swala la Nape kumpa sifa eti ndiye aliyepambana hadi mjomba Magu kua alipo, siliungi mkono... Kumbukeni Nape alikua muajiriwa na alikua analipwa pesa kama muajiriwa mwingine, hivyo aliyoyafanya kipindi hicho...
  5. 1981

    JamiiForums Tanzania Majambazi yenye silaha za moto yapora Sinza Kumekucha, Kijiweni, White Inn

    Awaiting for the updates.....
  6. 1981

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Mh Nape, umefanya kazi yako punguza kuongea utaharibu. Silent speaks loud........
  7. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Asante kiongozi.
  8. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Asante sana mkuu.
  9. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Asante sana kwa ushauri mkuu.
  10. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Asante kiongozi.
  11. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Asante ndugu.
  12. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Nashukuru kwa ushauri mpendwa.
  13. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Kaka huwa nazikata maana zinaota kwa ndani hivyo napata maumivu makali sana. Nikizikata maumivu hupungua.
  14. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Here with the attached photo.
  15. 1981

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Habari wana JF. Naombeni ushauri ninatatizo la kucha za vidole gumba toka mwaka 2015 October. Nimeshazunguka hospital nyingi hapa Dar es salaam na hata kufanyiwa upasuaji mdogo lakini tatizo limebaki pale pale. Nilishsenda Hospital nikapima vipimo vyote ikiwemo na sukari lakini nikaonekana...
Back
Top Bottom