1981
Member
- Feb 2, 2017
- 38
- 21
Habari wana JF.
Naombeni ushauri ninatatizo la kucha za vidole gumba toka mwaka 2015 October.
Nimeshazunguka hospital nyingi hapa Dar es salaam na hata kufanyiwa upasuaji mdogo lakini tatizo limebaki pale pale.
Nilishsenda Hospital nikapima vipimo vyote ikiwemo na sukari lakini nikaonekana kutokua na tatizo lolote.
Napata tabu sana ndugu zangu naombeni ushauri nionane na Doctor yupi bingwa wa tatizo hili na yupo hospital gani.