Mwanafunzi wa kidato cha nne aliyechaguliwa kujiunga chuo cha ufundi veta kibaha kongowe kafukuzwa chuo kwakuwa amekutwa na mimba hewa baada ya kwenda kupimwa katika zahanati ya kongowe. Hakuna kipimo kilichofanyika zaidi ya kuminywa matiti . Kawaida kipimo cha mimba kipo ni strip ya urine for...
Kwa nchi yetu suala la rushwa si geni masikioni mwetu.
Kubwa tuangalie jinsi ya kukomesha hii rushwa.
Yaonekana hapo moi kuna makundi ndani ya taasisi
wewe kama umetoa rushwa unapaswa kushitakiwa hata yule aliotoa laki tatu naye pia kikaangoni kwa kutoa rushwa.
Basi itolewa kwenye vyombo vya...
Wajenga huru wapo tena wengi tu.
Mara zote hawa watu wanatumia vitabu vya dini na, dini wanaijua.
Mtoa hoja usikute naye ni mjenga huru anataka kujua kama watu wanaufahamu juu ya hilo.
Kifupi watu hao wanatumia alama na ishara katika kumtukuza mungu wako.
TUFUATILIE KWA KARIBU CHANZO CHA HABARI HIYO.
YAANI AMESHINDWA KURIPOTI NI KAMA KUNA WALIOKUFA KWELI UNGA UMEWAZINGIRA MPAKA KWA MACHO POLENI WALE WAANGA:hatari:
:lol: TUMESOMA LAKINI TUNAJIULIZA HUYU DR. DINDA NI NANI KATIKA TAASISI.
MBONA HAO WENZAKE HUKUWATAJA MAJINA?
WAZI TUELEZE UMEGOMBANA NA DINDA? INAVYOONYESHA WEWE UNATATIZO NA UONGOZI LAKINI SI DR. DINDA ILA UNATAKA KUMTUMIA DINDA KAMA NGAZI YA KUPANDIA JUU NA KUMSHUSHA ALIYE JUU NA...
kwa kweli ni mambo ya kustaajabu kama ule usemi usemao
ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
Maana yake huyu anaye ripoti si mgonjwa bali ni mtu wa ndani ya moi yawezekana kuna visasi vilivyojificha. Habari hii ichunguzwe msiharibihane majina kwa vitu vidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.