Recent content by 1961mkuu

  1. 1

    Mateso/umasikini wa Watanzania na CCM kwa miaka 54

    Kwanza nianze kwa kuwapa pole sana Watanzania wenzangu kwa yote yaliyowapata katika uongozi Wa CCM Wa takribani miaka 54. CCM toka kuzaliwa kwake mpaka Baba Wa Taifa alipofariki haikuwa Na matatizo makubwa.CCM imeanza kuwatesa Na kuwafanya watanzania wawe masikini Wa kutisha ni mara tu baada ya...
  2. 1

    CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

    MNA haki ya kujifariji hali no tete nilitegemea kuimalika in pamoja Na watu kuhamia CCM sasa wanatoka
  3. 1

    Ulaghai wa CCM na Magufuli umefika mwisho, Umma umekataa!

    Kwa mtoro CCM hawana jipya kwisha basis tuu
  4. 1

    Hatimaye wananchi wafunguka

    Jamani tumechoshwa Na maisha haya magumu wao wanagawana mahela ya escrow Na familia zao sisi wanatupa T'Shirt Na vilemba
  5. 1

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Yodoki dhambi ya uongo itakuangamiza hivi kweli fisadi Wa kweli unajifanya humjui?
  6. 1

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Hana uwezo Wa kuwafanyia chochote watanzania mfupa uliowahinda Nyerere,Mwinyi,Mkapa Na Kikwete hana Ubavu Tanzania inataka Mabadiliko
  7. 1

    CCM haijui mamatatizo ya wananchi kwa miaka 54 sasa

    Nimeshangazwa sana Na kauli ya mgombea Urais Wa CCM kuwa anataka ayajue Matatizo ya Wananchi sasa . Magufuli amekuwa Waziri kwa miaka 20 Na katika uwaziri wake amekuwa akitembea nchi nzima kiasi ambacho alipaswa kuyajua kwani alikuwa anakutana Na wananchi. Kitendo cha kuwambia wananchi eti...
  8. 1

    Kipindi hiki cha Uchaguzi, Machinga hatubusumbuliwi tena

    Mkiwapa ccm watafidia kwa kuwaua iliwapole Mali zenu
  9. 1

    Nape huyo!

    Hiyo ndio ccm rushwa mbele kwa mbele
  10. 1

    Mama Samia aisambaratisha Arusha

    Aende hata Leo arusha hats ccm wanajua
  11. 1

    Fisadi wa m.v.dar es salaam ni nani wana ccm wenzangu?

    Hivi karibu Serikali ya CCM kupitia Tingatinga lake Mgombea Urais ilinunua boti/ meli kwa ajili ya eti kupunguza foleni Barabara ya Dar kwenda Bagamoyo.Boti hiyo imenunuliwa kwa Kodi za Masikini Wa liochoka kwa shs.Bilioni 8.Tingatinga kama kawaida yake Mzee Wa kujisifu aliuambia umma Wa...
  12. 1

    Maajabu ya Magufuli

    Mbona umesahau ufisadi Wa M.V.DAR Es SALAAM
  13. 1

    Mkurugenzi Ilala: CCM walilipia viwanja vya Jangwani mpaka 30 Agosti, 2015

    Wameumbuka Na roho mbaya Mungu atawaadhibu tu Ukawa msikate watanzania tunataka mabadiliko
  14. 1

    Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Mwongo sana hata aibu huna
  15. 1

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Waongo MNA hasira semeni mtalala juzi baba yenu kapata pressure kaanza matusi
Back
Top Bottom