Nimeshangazwa sana Na kauli ya mgombea Urais Wa CCM kuwa anataka ayajue Matatizo ya Wananchi sasa .
Magufuli amekuwa Waziri kwa miaka 20 Na katika uwaziri wake amekuwa akitembea nchi nzima kiasi ambacho alipaswa kuyajua kwani alikuwa anakutana Na wananchi.
Kitendo cha kuwambia wananchi eti sasa ndio anataka kujua matatizo yao in UONGO .CCM imekuwa madarakani kwa miaka 54 matatizo ya wananchi yanajulikana ila badala ya kuyaondoa imekuwa inayaongeza .Sasa hivi CCM imekuwa Na viongozi Wala RUSHWA Na MAFISADI.
Magufuli hawezi kuondoa shida za wananchi kama Mwinyi,Mkapa,Kikwete wameshindwa Na chama ni hicho hicho chenye lundo la viongozi mafisadi pamoja na yeye, Je atawezaje?