kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Salam
Wakuu Mimi kazi yangu ni biashara ndogondogo (machinga) maeneo ya mjini tumezoea mikiki na askari wa jiji. Lakini cha ajabu sasa hivi kipindi hiki cha kampeni hamna tena purukushani, ndo kusema kumbe ni kweli wanaotutendeaga vile ni ccm!? Dah! Kama ndiyo je kuna uhalali wa kuichagua?