Recent content by 123AL

  1. 1

    Zijue nchi ambazo watu wake wamewahi kutamani kuongozwa na Rais John Pombe Magufuli kutokea Tanzania

    Nampongeza sana. Ametutoa mbaali sana. Ten years to come Tanzania inakuwa miongoni mwa nchi super Africa
  2. 1

    Ofisi ya kupanga inatafutwa

    Pls Wadau! Mwenye ofisi ya kupanga au anayejua inapopatikana aniitumie taarifa mapema kabla ya kesho Ijumaa: pangolinconsultants16@gmail.com Maeneo: Along Mwendokasi Rd: Kimara-Posta, Kimara-Gerezani, Kimara-Morocco Only. Budget: 100,000-150,000/= Only. Karibu sana...
  3. 1

    NATAFUTA OFISI YA KUPANGA

    Wadau Pls mwenye ofisi ya kupanga au anayejua inapopatikana aNitumie taarifa mapema: pangolinconsultants16@gmail.com Maeneo: Alongo Mwendokasi: Kimara-Posta, Kimara-Gerezani, Kimara-Morocco Only. Budget: 100,000-150,000/= Only. Karibu sana...
  4. 1

    Iso 9001:2015 certification in Tanzania

    Hi! Hope you had very successful 2017. I hope its your plan to achieve ISO 9001:2015 Certification for your organization in 2018. It is very possible. Pangolin Quality Consulting Co. Ltd will assist you to achieve this goal by providing you with very processional service and at very...
  5. 1

    Serikali yatoa vigezo vya kupandisha vyeo na mishahara watumishi wa umma

    Siku moja nilishangaa sana baada ya kuona jamaa niliyesoma naye chuo mwaka mmoja, tukapangwa kazi kituo kimoja na kufundisha darasa moja ila masomo tofauti, amenizidi 190,000 ilihali mimi nimefaulisha somo langu kwa 90%.....Niliacha kabisa hiyo kazi na kupambana na Maisha yangu kivingine! Leo...
  6. 1

    Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari zinazo daiwa ni za Uongo (Oct 2017)

    Mimi binafsi nadhani uzalendo ni muhimu kwenye masuala ya kitaifa. Kusema 67% ya watanzania wanatumia ARVs ni kulikosea taifa. Mimi ni very neutral party, lakini kwa hili naipongeza serikali. Tena isiishie gazeti hili tu, hata mengine yenye mrengo unaofanana yafutwe tuuuu.
  7. 1

    Kumwomba Mungu kabla ya Tendo la Ndoa!

    The Prayer Before Making Love implores God "to place within us love that truly gives, tenderness that truly unites, self-offering that tells the truth and does not deceive, forgiveness that truly receives, loving physical union that welcomes". It adds: "Open our hearts to you, to each other and...
  8. 1

    Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Dangote: He is not aware with the pre existing laws!

    Hi! Nadhani pande zote mbili zikutane kuweka mambo sawa. Ila Dangote hajamtendea haki Rais wetu na Nchi ya Tanzania, kwenda kwenye platform za nje wakati hajanyimwa fursa ya kutoa ushauri humu ndani. Lakini pia, anahiari ya kuondoka na kuacha raslimali zetu kama anaona haimlipi. Our mines have...
Back
Top Bottom